Selfika na JF: Snap it. Show it

Mbinga ndugu,now wapo bei juu.kisado sh.elfu 14,Si unajua hali ya hewa si rafiki.
Ooooh kumbe wee ni wa huko, mie kwetu Songea 1, dagaa watamu hao hatari, mie mbinga ni mpitaji tyuuh, nimepita had tingi, liparamba, mipoto poto, nmekuja kutokea mitomoni,

Nikavuka nikaingia mocambique, nimevuruga congress, mianzini, nakaguruwe, tulo, nikazama hadi lichinga, sema nilitaman nielekee nampula, ila trip ili bounce nkarud home Tz.

"Vamshi mbola" hapo ujue kimeumana [emoji23][emoji23][emoji23]
Ila mocambique kwa vita hawaajambo lol.
 
Safi hii
 
Ni kweli ajari ni mbaya sana, kaka angu aliwahi pata na maswahibu haya,
Alikua analia km mtoto mdogo, akati ni mtu mzima mwenye familia.
Naogopa sana ajari mie, poleeeeh san cc japo imepita.
Pole yake.
Bora hata mimi nilikuwa mdogo mdogo kipindi hicho 15+.
Nilikuwa sioni shida kabisa kulia[emoji23],huku kichwa kinawaka Moto,huku mguu,huku mgongo mara kiuno, huku mkono ,,hapo nime exclude michubuko midogo midogo ya rejareja,,,hiyo combination ya maumivu[emoji119].
Ile gari almanusura iondoke na kiganja changu chote Cha mguu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…