Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

20210708_121654_mfnr.jpg
 
Habarini za asubuhi wapendwa

Akhsanteni sana kwa pole na maombi yenu wapendwa

Nashukuru MUNGU naendelea vizuri
View attachment 1848213
Umenikumbusha mbali!

Niliwahi pitia hali Kama hii
Vidonda vinauma sana hasa wiki ya Kwanza ,usiogope utapona kadiri siku zinavyosonga mbele..hata kama unaona vinawaka moto Sana.
Kuanzia week ya pili utapata nafuu zaidi.

Mungu ameshakuponya,kukuachia uhai ni jambo kubwa mno.
Majeraha na maumivu yataondoka kadiri muda unavyosonga mbele.

Jitahidini kufwata utaratibu wanaokupa wataalamu.

Pole Sana.
 
Back
Top Bottom