Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

Siyo mbali ndugu zangu
Dalili zote zinaonyesha
Mwisho wa mambo yote u karibu.
IMG_20210708_220021_1.jpg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Lakini wateule wote siku hiyo
Walioandikwa kitabu cha uzima
Watarukaruka nami nitaruka.

Sent using Jamii Forums mobile app
Bado kitambo tu
Yapaswa kujitakasa
Siku hiyo ikifika uwe umetakasika
Mwokozi Yesu akija, tumlaki kwa furaha karibu sana Mwokozi njoo utuokoe
Bahari na milima vitamkimbia akija na utukufu wa babae je utasimama au utakimbia
 
Nimelala sina habari kuamka nakuta mwanangu anaponda ponda simu.....hana hata habari na alivyoniona ndio kafurahi zaid....wakuu hii ni samsung note 9 naweza kupata HOUSING kweli??View attachment 1846354

Kazi ya kend ya uhakika..
Mwe ukendi ujhu,imbombo syake ndekaa.

Pole sana.
Watoto ndivyo walivyo,wa kwetu alishawahi loweka simu kwenye uji tena wa Moto na Cha kumfanya hakipo.

Cha muhimu kuwa makini kutunza mkuu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Bado kitambo tu
Yapaswa kujitakasa
Siku hiyo ikifika uwe umetakasika
Mwokozi Yesu akija, tumlaki kwa furaha karibu sana Mwokozi njoo utuokoe
Bahari na milima vitamkimbia akija na utukufu wa babae je utasimama au utakimbia
Kila jina siku hiyo litaitwa
Na matendo yako yote yataletwa
Utajibu nini?nitajibu Nini?
Mbele ya mahakama iliyo kuu
Mungu mwenyeji akiwa ndiye hakimu
Utajibu nini?nitajibu Nini?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom