Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

Nyie si ndio zenu hizi, mpare mwenzio huyo.
Babuuh afu muheshimu mjukuu mkweo, uwage na adabu utarudisha mali zake ulizopokea ooooh, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Nimechambwa na njaa yote hii[emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji2984][emoji2984][emoji2984]
 
Wapendwa.... Kwa taarifa zilizonifikia siku ya leo ni kwamba mwana selfika mwezetu ndugu T 1990 ELY alipata ajali jana jioni, hajavunjika ila amepata majeraha mengi tu.
Tumuombee mwenzetu Mungu wa mbinguni amponye haraka.

My prayers on you. Get well ASAP T 1990 ELY
Dah... Mfikishie pole zetu nyingi sana..
 
Dah pole mkuu nini mbaya?
Tumbo mkuu ila nimetoka saivi nko geto nakula ugali
IMG20210706152632.jpg
 
Wapendwa.... Kwa taarifa zilizonifikia siku ya leo ni kwamba mwana selfika mwezetu ndugu T 1990 ELY alipata ajali jana jioni, hajavunjika ila amepata majeraha mengi tu.
Tumuombee mwenzetu Mungu wa mbinguni amponye haraka.

My prayers on you. Get well ASAP T 1990 ELY
Mungu amponye majeraha haraka [emoji120]
Maumivu ni makali lakini Mungu huganga yote[emoji120][emoji120]

Pole sana kwake.
 
Back
Top Bottom