[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] ukweli kabisaa hapa.[emoji115] [emoji115] ๐๐ฎ๐ฝ๐ฎ ๐ ๐๐ฒ๐ป๐ฑ๐ฎ๐๐ฎ๐ธ๐ฒ ๐ ๐๐ด๐ฎ๐ฏ๐ฒ ๐ฎ๐ป๐ฎ๐๐ฒ๐บ๐ฎ; "M๐ณ๐๐บ๐ผ ๐๐ฎ ๐ฒ๐น๐ถ๐บ๐ ๐๐ฎ ๐ธ๐ถ๐ฎ๐ณ๐ฟ๐ถ๐ธ๐ฎ ๐๐ป๐ฎ ๐บ๐ฎ๐๐ผ๐ธ๐ฒ๐ผ ๐๐ฎ๐ป๐ฎ๐๐ผ ๐๐ต๐ฎ๐ป๐ด๐ฎ๐๐ฎ. ๐ ๐๐ฎ๐ป๐ฎ๐ณ๐๐ป๐๐ถ ๐ฏ๐ผ๐ฟ๐ฎ ๐ธ๐ฎ๐ฏ๐ถ๐๐ฎ ๐บ๐๐ฒ๐ป๐๐ฒ ๐๐ณ๐ฎ๐๐น๐ ๐๐ฎ ๐ฑ๐ฎ๐ฟ๐ฎ๐ท๐ฎ ๐น๐ฎ ๐ธ๐๐ฎ๐ป๐๐ฎ ๐ฎ๐ป๐ฎ๐ฝ๐ฒ๐น๐ฒ๐ธ๐๐ฎ ๐ธ๐๐๐ผ๐บ๐ฒ๐ฎ ๐จ๐ฑ๐ฎ๐ธ๐๐ฎ๐ฟ๐ถ ๐ป๐ฎ ๐จ๐ต๐ฎ๐ป๐ฑ๐ถ๐๐ถ. ๐ก๐ฎ ๐บ๐๐ฎ๐ป๐ฎ๐ณ๐๐ป๐๐ถ ๐๐ฎ ๐ฑ๐ฎ๐ฟ๐ฎ๐ท๐ฎ ๐น๐ฎ ๐ฝ๐ถ๐น๐ถ ๐ฎ๐ป๐ฎ๐ฝ๐ฒ๐น๐ฒ๐ธ๐๐ฎ ๐ธ๐๐๐ผ๐บ๐ฒ๐ฎ ๐ฆ๐ต๐ฒ๐ฟ๐ถ๐ฎ ๐ป๐ฎ ๐จ๐ผ๐ป๐ด๐ผ๐๐ถ ๐ถ๐น๐ถ ๐ฎ๐บ๐๐ผ๐ป๐ด๐ผ๐๐ฒ ๐บ๐๐ฎ๐ป๐ฎ๐ณ๐๐ป๐๐ถ ๐๐ฎ ๐ฑ๐ฎ๐ฟ๐ฎ๐ท๐ฎ ๐น๐ฎ ๐ธ๐๐ฎ๐ป๐๐ฎ. ๐ ๐๐ฎ๐ป๐ฎ๐ณ๐๐ป๐๐ถ ๐๐ฎ ๐ฑ๐ฎ๐ฟ๐ฎ๐ท๐ฎ ๐น๐ฎ ๐๐ฎ๐๐ ๐ฎ๐ป๐ฎ๐ถ๐ป๐ด๐ถ๐ฎ ๐ธ๐๐ฒ๐ป๐๐ฒ ๐ฆ๐ถ๐ฎ๐๐ฎ ๐ถ๐น๐ถ ๐ธ๐๐๐ฎ ๐๐ฎ๐๐ฎ๐น๐ฎ ๐๐ฎ๐น๐ฒ ๐๐ฎ ๐ฑ๐ฎ๐ฟ๐ฎ๐ท๐ฎ ๐น๐ฎ ๐ธ๐๐ฎ๐ป๐๐ฎ ๐ป๐ฎ ๐น๐ฎ ๐ฝ๐ถ๐น๐ถ. ๐ก๐ฎ ๐๐ฎ๐น๐ฒ ๐๐ฎ๐ป๐ฎ๐ณ๐๐ป๐๐ถ ๐๐ฎ๐น๐ถ๐ผ๐ณ๐ฒ๐น๐ถ ๐๐ฎ๐ป๐ฎ๐ท๐ถ๐๐ป๐ด๐ฎ ๐ป๐ฎ ๐๐ฒ๐๐ต๐ถ ๐ธ๐๐ฎ ๐ฎ๐ท๐ถ๐น๐ถ ๐๐ฎ ๐ธ๐๐๐ฎ๐๐ถ๐บ๐ฎ๐บ๐ถ๐ฎ ๐๐ฎ๐ป๐ฎ๐๐ถ๐ฎ๐๐ฎ ๐ฎ๐บ๐ฏ๐ฎ๐ผ, ๐ธ๐ฎ๐บ๐ฎ ๐ต๐ฎ๐๐ฎ๐ป๐ฎ ๐ณ๐๐ฟ๐ฎ๐ต๐ฎ ๐ป๐ฎ๐ผ ๐๐ฎ๐ป๐ฎ๐๐ฎ๐๐ถ๐บ๐๐ฎ ๐ฎ๐ ๐ธ๐๐๐ฎ๐๐ฎ. .... ๐๐ฎ๐ธ๐ถ๐ป๐ถ, ๐ธ๐ถ๐ธ๐๐ฏ๐๐ฎ ๐ธ๐๐น๐ถ๐ธ๐ผ ๐๐๐ผ๐๐ฒ, ๐๐ฎ๐น๐ฒ ๐ฎ๐บ๐ฏ๐ฎ๐ผ ๐ต๐ฎ๐๐ฎ๐ท๐ฎ๐ฒ๐ป๐ฑ๐ฎ ๐๐ต๐๐น๐ฒ ๐๐ฎ๐ป๐ฎ๐ธ๐๐๐ฎ ๐ ๐ฎ๐ป๐ฎ๐ฏ๐ถ๐ถ au ๐ช๐ฎ๐ด๐ฎ๐ป๐ด๐ฎ ๐๐ฎ ๐ธ๐ถ๐ฒ๐ป๐๐ฒ๐ท๐ถ!, ๐ป๐ฎ ๐บ๐ฎ๐ธ๐๐ป๐ฑ๐ถ ๐๐ผ๐๐ฒ ๐ต๐ฎ๐ฝ๐ผ ๐ท๐๐ ๐๐ฎ๐ป๐ฎ๐๐ฎ๐ณ๐๐ฎ๐๐ฎ ๐ต๐ฎ๐๐ฎ."
Lakini ukumbuke ukiolewa kule Sharti usiwe Mvivu.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] ng'ombe 80 duuh, wacha nijipange bas nizamie huko huko. Maan fursa nzuri kwangu kabisaah.
Wapendwa wana selfika, mwenzetu Saint Anne, amefiwa na baba yake leo. Ninaomba tu kila mmoja wetu kwa Imani yake; amuweke Anne na familia nzima kwenye maombi. Mungu akawafariji, akawatie nguvu na kuwavusha salama katika kipindi hiki kigumu sana na chenye majonzi kwao. BWANA Alitoa, na BWANA Ametwaa, Jina la BWANA na libarikiwe.
Nimefanikiwa kupata namba ya kuweza kutuma rambirambi. Namba ya kutumia ni 0756865385 jina ni ABEL KAHAVA. Mbarikiwe sana na kujazwa maradufu popote pale mtakapopunguza.
C.c Karma Mshana Jr billdrago Gerald incredible [USER=157962]Espy Chakorii Makiseo Eli79 T 1990 ELY cocastic SHIMBA YA BUYENZE @Jojoline mshipa Chick Magnet mkwepu jr sawima BIN NUN donlucchese Roger Sterling Depal financial services Doon moudgulf Bujibuji Emmanuel Kasomi usser The Monk Behaviourist Nuzulati Mjep Shunie
(Mentions zinaendelea)
Ooh pole kwake na kwa familia yote.
Mungu awe nae na kuwepo mkakati wa namna ya kumsaidia mwenzetu.
Lakin madame vizuri upost kama uzi wa kipekee ili iwe wepesi watu kujua[emoji120][emoji120]
Daah pole nyingi sana kwa familia yao Mungu akawafariji na akawatie nguvu katika kipindi hiki kigumu! Baba apumzike kwa amani Amen! [emoji2309][emoji2309][emoji2309][emoji2309] [emoji120][emoji120][emoji120][emoji120]
So sad. Mungu amlaze Baba mahali pema peponi.Mungu amtie nguvu yeye na familia yake katika kipindi hiki kigumu.
Mwendo ameumaliza Imani ameitunza apumzike kwa amani BABA. AMEN
AmenPole zangu kwa dada Anne na familia yake yote. Mungu awape nguvu za kuuvuka wakati huu mgumu. Alale pahali pema peponi Baba Anne. [emoji1488]
maskini duuh pole sana kwake Mungu aitie nguvu familia kwa kipindi hiki kigumu kwao
Pole sana kwake Saint Anne
Huyu mkuu amekua mdau mzuri sana kwenye uzi wetu huu na nyuzi nyingine pendwa pamoja na salamu za pole yunzotoa napendekeza tufanye chochote kinachowezekana kumfariji
Nashauri Heaven Sent au mkuu Mshana Jr mtusaidie kuli organise hili kama itawapendeza
Ooooh JAH awape wafiwa wote faraja na uvumilivu mkubwa wa kuweza kupambana na kipindi hiki kigumu kwao cha kuondokewa na mpendwa wao,
Mpendwa huyo baba apumzike kwa amani, bwana alitoa na bwana ametwaa, jina lake lihimidiwe.
Raha ya umpe eeeh bwana, na mwanga wa milele umuangazie
Mpendwa Baba yetu astarehe kwa amani, AMEEEEN.
[emoji120][emoji120][emoji120][emoji120]
aisee pole sana kwake....Mungu amlaze baba mahali pema peponi
Sent from my SM-N960F using JamiiForums mobile app
Aisee, pole yake na kwa familia yake yote, Mungu amtie nguvu katika kipindi hiki kigumu..hakika sisi sote njia yetu moja.
Pole sana Anne jamani Mungu amtie nguvu sana yeye pamoja na familia yake
Mama mchungaji tulio mbali basi tutumiwe no hata tumfariji kwa pole
Ooh! Habari za hovyo kabisa hizi...
Kama binadamu hatuna la kufanya isipokuwa kumuombea marehemu pumziko jema na lenye heri. Na kwa wapendwa walioachwa; hebu Roho Mtakatifu Ajulikanaye pia kama Mfariji Mkuu Akawapoze mioyo yao na kuwapa faraja na matumaini katika kipindi hiki chenye giza na maumivu makali.
Na kwenu Heaven Sent na/au Mshana Jr. Saint Anne ni memba mwenye mahusiano mema na watu wengi; na anajulikana sana hapa. Anzisheni uzi kamili wenye taarifa hii ili habari hizi ziweze kuwafikia watu wengi. Na cha muhimu zaidi, toeni mwongozo wa jinsi ya kutoa rambirambi ili tunaoweza kufanya hivyo tufanye hivyo mara moja.
Asanteni na poleni [emoji1545]
Pole sana Saint Anne
Mungu awatie nguvu na akawe faraja kwao.. Pole sana mpendwa Saint Anne
Pole sana mchumba Saint Anne kwa matatizo. Mungu akutie nguvu kwenye kipindi hiki kigumu. I am praying for u babe[emoji120]
Mungu amtie nguvu katika kipindi iki kigumu ...
Amen[emoji24]Kuishi ni faida, kufa ni kristo
Mungu ailaze roho ya marehemu mahala panapostahili[emoji120][emoji120][emoji120]
Amen[emoji24]
Asanteni[emoji120]
Mungu awabariki.
Mzidi kuniombea[emoji120].
Amen
Akhsante [emoji24][emoji120]
Mzidi kuniombea,ni wakati mgumu sana kuwahi kupitia maishani.
Mungu awabariki.
Pole sana Anne, Mungu awe pamoja nawe, na akupe amani. Barikiwa.Amen
Akhsante [emoji24][emoji120]
Mzidi kuniombea,ni wakati mgumu sana kuwahi kupitia maishani.
Mungu awabariki.
pole kalumbuAmen
Akhsante [emoji24][emoji120]
Mzidi kuniombea,ni wakati mgumu sana kuwahi kupitia maishani.
Mungu awabariki.
Mkuu huku tukiendelea kumuombea st Anne,nguvu ya kuvuka salama katika kipindi hiki kigumu,hii imenikosha sana.Remember this Kenyan runner Abel Mutai who was just a few feet from the finish line, but became confused with the signage and stopped, thinking he had completed the race. A Spanish runner, Ivan Fernandez, was right behind him and, realizing what was happening, started shouting at the Kenyan to continue running. Mutai didn't know Spanish and didn't understand. Realizing what was taking place, Fernandez pushed Mutai to victory.
A journalist asked Ivan, "Why did you do that?" Ivan replied, "My dream is that someday we can have a kind of community life where we push and help each other to win."
The journalist insisted "But why did you let the Kenyan win?" Ivan replied, "I didn't let him win, he was going to win. The race was his." The journalist insisted, and again asked, "But you could have won!" Ivan looked at him and replied, "But what would be the merit of my victory? What would be the honor in that medal?
What would my Mother think of that?"
Values are passed on from generation to generation.
What values are we teaching our children?
Let us not teach our kids the wrong ways and means to WIN.
Instead, let us pass on the beauty and humanity of a helping hand. Because honesty and ethics are WINNING!
Sent using Jamii Forums mobile app
Jaman jaman life is to short now daysWapendwa wana selfika, mwenzetu Saint Anne, amefiwa na baba yake leo. Ninaomba tu kila mmoja wetu kwa Imani yake; amuweke Anne na familia nzima kwenye maombi. Mungu akawafariji, akawatie nguvu na kuwavusha salama katika kipindi hiki kigumu sana na chenye majonzi kwao. BWANA Alitoa, na BWANA Ametwaa, Jina la BWANA na libarikiwe.
Nimefanikiwa kupata namba ya kuweza kutuma rambirambi. Namba ya kutumia ni 0756865385 jina ni ABEL KAHAVA. Mbarikiwe sana na kujazwa maradufu popote pale mtakapopunguza.
C.c Karma Mshana Jr billdrago Gerald incredible [USER=157962]Espy Chakorii Makiseo Eli79 T 1990 ELY cocastic SHIMBA YA BUYENZE @Jojoline mshipa Chick Magnet mkwepu jr sawima BIN NUN donlucchese Roger Sterling Depal financial services Doon moudgulf Bujibuji Emmanuel Kasomi usser The Monk Behaviourist Nuzulati Mjep Shunie
(Mentions zinaendelea)
Nikiona hiv Mimi ndo nakumbuka daslamu
(ndoto yake ni kuona tunajenga jamii ambayo tunasukumana kwenye mstari wa ushindi...โ. )Mkuu huku tukiendelea kumuombea st Anne,nguvu ya kuvuka salama katika kipindi hiki kigumu,hii imenikosha sana.
Naomba niiweke kidogo kwenye lugha yetu mama.
Huyu ndugu mweusi anaitwa Abel Mutai, ni mwanariadha wa nchi ya Kenya. Wa nyuma yake (huyo mzungu) anaitwa Ivan Fernandez, ni mwanariadha wa Hispania.
Mwaka 2013 kwenye mbio za Burlada, Ivan Fernandez alifanya kitendo cha kibinadamu, kimaadili na cha heshima kubwa sana. Hakushinda mbio mahala ambapo kwa tamaa zetu za kibinadamu angeweza kushinda.
Ni kwamba, walipokaribia โfinish lineโ, Mutai, ambaye alikuwa anaongoza mbio hizo, alikosea sign ya โfinish lineโ akatoka mchezoni kwenye race na kuanza kushangilia kuwa ameshinda, kitendo ambacho kingempa Ivan fursa ya kuwahi kwenye finish line na kuchukua medali ya dhahabu na kumfanya Mutai ajute, alie na kusaga meno.
Ivan hakutaka ushindi wa kinyemela, ambao angeupata tu kutokana na makosa ya Mutai.
Alimfuata Mutai kule nje na kumrejesha kwenye โlaneโ huku akimuongelesha kihispaniola kuwa bado hawajafika, japokuwa Mutai alikuwa haelewi lugha hiyo lakini alifuata maelekezo ya Ivan na kufika kituo cha mwisho akachukua ushindi wake. Na Ivan akabaki kwenye nafasi yake โhalaliโ ya ushindi wa pili. Watu hawakumshangilia sana Mutai lakini Walimheshimu sana Ivan.
Sababu ikiwa ni moyo wake wa kibinadamu wa kumsukuma Mutai kwenye mstari wa ushindi mpaka akapata haki yake. Ivan alipohojiwa alisema โndoto yake ni kuona tunajenga jamii ambayo tunasukumana kwenye mstari wa ushindi...โ.
Mwandishi wa habari akamuuliza, โlakini kwa nini ulimuacha Mkenya akashinda wakati ungeweza kuwa mshindi?โ, Ivan alijibu โsikumuachia ushindi. Alikuwa ameshinda. Ushindi ulikuwa haki yakeโ.
Mwandishi akasisitiza, โlakini ungeweza kushinda?โ. Ivan akajibu: โlakini ningepata raha gani juu ya ushindi huo? Nini ingekuwa heshima ya medali hiyo? Mama yangu angefikiria nini juu ya hilo?โ
Mungu atujaaliye tupate watoto wema kama Ivan, watakaokuwa tayari kushinda kwa mbinu halali za ushindi, watakaokuwa tayari kusimama kwenye kanuni za maadili, heshima na uaminifu.
Na ndo mmeyageuza vivutio vyamwendazake haya mafly over alijenga banaView attachment 1806444
Sent from my SM-N960F using JamiiForums mobile app
Sasa mbna rangi yangu ya mtume itaharika wee lol. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Lakini ukumbuke ukiolewa kule Sharti usiwe Mvivu.
Nielewe hapo kwenye Uvivu[emoji12]
Tuko nawe bega kwa bega ktk kipindi hiki kigumu kwako, Jah akufanyie wepesi uwe sawa.Amen[emoji24]
Asanteni[emoji120]
Mungu awabariki.
Mzidi kuniombea[emoji120].