qeen jojo
JF-Expert Member
- Jan 7, 2021
- 1,246
- 3,739
Crush na mchumba ulingoni kupambania ushindi na mshindi ndo atavishwa taji [emoji2956][emoji2956]
Crush na mchumba ulingoni kupambania ushindi na mshindi ndo atavishwa taji [emoji2956][emoji2956]
Naomba liftFinal check up >>>mbeya , ileje View attachment 1790420
Ya kiukweli inabidi uweke na pic kabisaaaNimekumiss ya ukweli ukweli stanii ujue[emoji41]
Mimi Wala sihitaji kupambana kwa kitu ambacho ni changu tayari[emoji23][emoji23][emoji23]Crush na mchumba ulingoni kupambania ushindi na mshindi ndo atavishwa taji [emoji2956][emoji2956]
Haa haa kwamba huhitaji manatiMimi Wala sihitaji kupambana kwa kitu ambacho ni changu tayari[emoji23][emoji23][emoji23]
Sent using Jamii Forums mobile app
Ndiyo bossHaa haa kwamba huhitaji manati
Ndege akiwa kwenye shamba lako
Kaa uyole hapo na begi nakupitia [emoji23]
Raha ndo iko hapo
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Raha ndo iko hapo
Unamwaga Tu mtama pindi
Unamhitaji
Kwa ajili yako tu crushYa kiukweli inabidi uweke na pic kabisaaa
Nitakunyang'anya[emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787]Mimi Wala sihitaji kupambana kwa kitu ambacho ni changu tayari[emoji23][emoji23][emoji23]
Sent using Jamii Forums mobile app
Duh pole sana[emoji3][emoji3][emoji3]Sitaki tena kujihatarisha namna hiyo.
Ajali niliyowahi kupata inanitosha kabisa[emoji23][emoji23]
Mungu ni mwaminifu sana ila sitaki kumpa kazi hizo za kunilinda kwenye hiyo barabara hatari.
Sent using Jamii Forums mobile app
Bon voyageFinal check up >>>mbeya , ileje View attachment 1790420
Baraka za huu uzi ndo hiz sasaKwa ajili yako tu crush View attachment 1790428
Uliona hii meme?[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Nitakunyang'anya[emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787]
Umenichekesha aisee kwamba unajiamni kama mzazi mwenzake na rayvan[emoji23][emoji23][emoji23][emoji1787]
Uwajui wanaume wewe kumbeee kasha zoea kukuona na sketi kuna siku atataka kukuona na suruali alafu wewe uwezi kuvaa hapo ndo utajua haujui [emoji1787][emoji23]
Ila kuna watu Jamani majasiri[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Duh pole sana[emoji3][emoji3][emoji3]
Utadhani hawana roho[emoji3]Ila kuna watu Jamani majasiri[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Hiyo barabara [emoji119][emoji119][emoji119]
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji23][emoji23][emoji23]Utadhani hawana roho[emoji3]
Umebalikiwa sana huu uziBaraka za huu uzi ndo hiz sasa