Mac Bully 001
JF-Expert Member
- Jun 26, 2012
- 6,539
- 12,943
Duh! Ndo nn sasa 🤔Nani mwingine anajua hii kitu?View attachment 1795388
Duh! Ndo nn sasa 🤔Nani mwingine anajua hii kitu?View attachment 1795388
Kama ukoko wa uji wa wimbi! 🤣 🤣 🤣Nani mwingine anajua hii kitu?View attachment 1795388

Ndo nini hii tena jaman
Duh! Ndo nn sasa![]()
Hahaha!Kama ukoko wa uji wa wimbi!![]()
![]()
![]()
Usiwe hivo, tupe uhondo... 😂Hahaha!
Unalewa pale tu unapoanza kulewa mkuuHiv hii unalewa saa ngapi?
Sawa na tusker cider ama? Hutojua ukilewa... 😂THIS IS THE LITE BEER FOR REAL BEER LOVERSView attachment 1795150
Tunaita kinaka/kikanda.Usiwe hivo, tupe uhondo...![]()
Kwema mkuuSawa na tusker cider ama? Hutojua ukilewa...![]()
So, ni mboga?Tunaita kinaka/kikanda.
Watu wa nyanda za juu kusini watakuwa wanaelewa zaidi.
Kinaota ardhini,kinachimbwa km viazi,kinaanikwa kinatwangwa,kinaanikwa tena, kinachekechwa ,inakuwa kama unga hivi.
Upikaji wake watu huchanganya na karanga zilizotwangwa na kuchekechwa .
Kinawekwa magadi, na chumvi,,wengine huweka pilipili kuongeza ladha.
Kinasongwa kama ugali ..
Waweza kula na ugali ama chenyewe kama hivyo.
Inaweza tumika kama mboga ukitaka.So, ni mboga?
Kule kusini alipo Chakorii kuna kitu cha namna hiyo wenyeji wanaita Ming'oko.Inaweza tumika kama mboga ukitaka.
Hujambo mkuu
Sijambo mkuu Sijui weweHujambo mkuu
Mbna km kikande? Afu hakijachemshwa bado?Nani mwingine anajua hii kitu?View attachment 1795388
Woyoooooooooooh, umemalizaaaaahTunaita kinaka/kikanda.
Watu wa nyanda za juu kusini watakuwa wanaelewa zaidi.
Kinaota ardhini,kinachimbwa km viazi,kinaanikwa kinatwangwa,kinaanikwa tena, kinachekechwa ,inakuwa kama unga hivi.
Upikaji wake watu huchanganya na karanga zilizotwangwa na kuchekechwa .
Kinawekwa magadi, na chumvi,,wengine huweka pilipili kuongeza ladha.
Kinasongwa kama ugali ..
Waweza kula na ugali ama chenyewe kama hivyo.
Vizuri sana kama hujambo mkuuSijambo mkuu Sijui wewe