usser
JF-Expert Member
- Sep 25, 2015
- 13,978
- 14,092
Hii bia now days wameichakachua
Haina stim Kama zaman
Hii bia now days wameichakachua
Unakijua eeh???Woyoooooooooooh, umemalizaaaaah
aisee sure....zamani safari 5 uko high vibayaHii bia now days wameichakachua
Haina stim Kama zaman
Hata kwa chai kinaenda tu.Kule kusini alipo Chakorii kuna kitu cha namna hiyo wenyeji wanaita Ming'oko.
Inaweza kuliwa kwa chai au kutumika kama mboga wakati mwingine.
Nilipofika Njombe pia, niliona kinapatikana. Kama sijasahau Njombe kule wanaita Vitundi.
Inasemekana ukila vyakula hivyo vya asili huongeza nguvu za kiume pamoja na kuboresha kinga ya mwili (Sijafanya utafiti kujua ukweli wake - najihami kwa maswali)![]()
Kijijini kwa bibi, huwa tunaendaga maporini karibu na maganga bela tunavichimba, mie hadi kukichimba, kutwanga, kukianika kukichemsha magadi na chumvi ili kiungane, najua kukitengeneza haswaa,Unakijua eeh???
Enzi zangu za utoto nimekula sana aiseee..
Vijijini huko vinapatikana kwa wingi.
Huku town tunavipata kwa manati halafu bei kubwa.
Sent using Jamii Forums mobile app
Huku upatikanaji wake ni wa tabu mno.Kijijini kwa bibi, huwa tunaendaga maporini karibu na maganga bela tunavichimba, mie hadi kukichimba, kutwanga, kukianika kukichemsha magadi na chumvi ili kiungane, najua kukitengeneza haswaa,
Ndo mboga ambayo napenda kutia karanga, nlivoenda likizo ile nilibeba vingi sana, kikande kitamu hatareeh.
Kule kwetu vipo vingi sana has a vijijini, japo vikifika mjini bei yake huwa sio kubwa.


Mama hulali unenepe?
Hahah!Mama hulali unenepe?
Oooops! Pole sana Mtumishi.
Usifananishe nyama na vitu vya ajabu we mjukuu,Hata kwa chai kinaenda tu.
Wengine huenda mbali na kukikaanga na nyanya,vitunguu na mafuta.
Yaani utamu wake hata nyama inaweza sione ndani.
Sent using Jamii Forums mobile app
Oooops! Pole sana Mtumishi.
Na imani umeanza kutumia dawa/ulienda hospital kwa matibu?
Kama bado basi tafadhali kesho ukitahidi.
Pia jitahidi kunywa maji mengi, matunda ili upate hamu ya kula zaidi, japo chakula hakipandi ila jitahidi uwezavyo ili mwili usichoke mama.






Now ukinywa 5 n Kama ndo uko ya pili


