Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

Tuishi kwa imani na imani..hata pale tunapopitia changamoto nyingi na ngumu.. Kwa imani zetu kama waamini tujue ya kuwa yuko mmoja mweza wa yote
IMG-20210524-WA0088.jpg
IMG-20210524-WA0087.jpg
Zingatia sana neno USIOGOPE!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Huku upatikanaji wake ni wa tabu mno.

Umkute fundi anayejua kupika vizuri yaani utaenjoy[emoji39][emoji39]
Nitakuja Songea kuchimba.

Sent using Jamii Forums mobile app
Kule kwetu upatikanaje wake mrahisi, yaan vipo vingi sana, shangazi angu huyo yeye ndo fundi wa kutengeneza hadi kupika sasa,

Karibu ukachimbe kikande kwa afya. [emoji23][emoji23][emoji23]
 
Back
Top Bottom