Thank you my sister
Saint Anne
Lengo la swali langu ni kutaka kujua kama kuna room ya mtu kuwezeshwa na Yesu hali ya kuwa anafanya mambo yasiyompendeza.
Ndio maana nikasisitiza sioni haja ya kutaja ninayo yafanya ila ieleweke ni mabaya sana kwa mujibu wa tamaduni zetu.
Au na wewe ni muumini wa mtu akitaka kujifunza habari za Yesu lazima ajivue nguo kwanza then mambo yaende sawa?