Selfika na JF: Snap it. Show it

 
Hamna sijamzidi..
Ila uzuri wa mtu upo machoni pa mtu..amependeza Sana na ninependa namna amepaka wanja .
Ni mkeo?

Nimescreeshot,ninaiuza kwa elfu 10

Sent using Jamii Forums mobile app

Si umemzidi hayo mahips

Na hapo sura ako hatujaiona pengine una mkimbiza mbali sana

Tunawaweza basi na hizi make up zenu
Mtu anabadirika utasema mwarabu. Huwaga unapaka pia ?


Hapana sio mke wangu ni shemeji wa mbali sana

Acha uhuni na sura ya watu
 
Vyuma vimekaza

Akitokea mtu anataka kuona naonyesha kwa elfu 10 tu!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…