Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

Kijijini
20210516_154028.jpg
 
Sijui kesho yangu itakuwaje maana viashiria vya mwelekeo wangu si vizuri.

Kabla nusu ya mwaka haijaisha tayari watu wawili tofauti wamenivika vyeo..

Mmoja amenivika cheo cha uchochezi na ufitini, yaani amenitambua mbele ya hadhara kama mchochezi na mfitini. Kosa langu kudai risiti kama ushahidi wa matumizi ya mchango.

Mwingine amenivika cheo cha uspoiler, yaani I am a spoiler. Kosa langu kumkumbusha kuwa hawajibiki kwa mkewe, ila anasema namspoil mke wake. I am doing him a big favour lakn ananiona mbaya.
 
aiseeee
Dhaaaa na hapo bado mchepuko hajakuvika
Cheo cha kudumu
 
Mshana Jr Muda mfupi hapa nilikua na piga soga na wadau kuhusu mambo ya nguvu za giza, Mambo ni mengi wameongea hili lilikua la ajabu kweli kweli.
Wachawi huwaga wana safari za kwenda kuzimu, na huko huwa wqnakutana na mkuu wao sheitwan kwa ajiri ya majambo yao na wanapitia baharini.

Unafahamu nini zaidi kuhus hilo ? Nategemea kupata kitu cha tofauti kutoka kwako mkuu
Kuna Mahali nliskia hii story cjui n wapi
Najarbu kukunbuka Ila nashindwa kupata
Picha
 
Mshana Jr Muda mfupi hapa nilikua na piga soga na wadau kuhusu mambo ya nguvu za giza, Mambo ni mengi wameongea hili lilikua la ajabu kweli kweli.
Wachawi huwaga wana safari za kwenda kuzimu, na huko huwa wqnakutana na mkuu wao sheitwan kwa ajiri ya majambo yao na wanapitia baharini.

Unafahamu nini zaidi kuhus hilo ? Nategemea kupata kitu cha tofauti kutoka kwako mkuu
Si wachawi wote huenda kuzimu kukurtana na kubwa la maadui kuna wengine hata njia hawaijui
 
Back
Top Bottom