Monopoly.
Namuona askari hapo wa go to jail. Namkumbuka [emoji1787]
Mabata madogomadogo🎶🎶🎶🎵🎵
Umepotea sana douta![emoji7][emoji7][emoji7][emoji7]
Nipo baba habari za siku
Chakula Cha watani wetu hao wapare!
Si kweli[emoji24][emoji24][emoji24][emoji24]Chakula Cha watani wetu hao wapare!
Mpare anaweza kuwa na biashara yenye mtaji wa milioni 200 lakini akashinda kwa kula muhindi wa kuchoma na maji ya 100!!!
Sent using Jamii Forums mobile app
Sure ndugu nilishuhudia huko Moro kipindi fulaniSi kweli[emoji24][emoji24][emoji24][emoji24]