Extrovert
JF-Expert Member
- Feb 29, 2016
- 72,392
- 191,463
Anapenda uzee huyu wacha yamkute ya uzeeni😂😂😂[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] labda 34 - 10 = 24.
Anapenda uzee huyu wacha yamkute ya uzeeni😂😂😂[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] labda 34 - 10 = 24.
Bei gani hawa mzee baba
Hatimaye tumekuona mommy. [emoji3590][emoji3590][emoji3590]
Utafika tu huko acha papara katoto kalitoDogo achana na hesabu za kuassume[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Leo nina shauku fulani ya kutuma picha.Hatimaye mpendwa umepost[emoji7]
Kama 34 ni uzee basi Mimi nimezeeka[emoji16]Anapenda uzee huyu wacha yamkute ya uzeeni[emoji23][emoji23][emoji23]
Wee nahisi nimepatia jibu, ooooooooh[emoji23][emoji23][emoji23]Dogo achana na hesabu za kuassume[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Mimi mkubwa jamani.Utafika tu huko acha papara katoto kalito
Hata mie napenda uzee jamani, [emoji23][emoji23][emoji23]Anapenda uzee huyu wacha yamkute ya uzeeni[emoji23][emoji23][emoji23]
A wapi[emoji23]Wee nahisi nimepatia jibu, ooooooooh[emoji23][emoji23][emoji23]
Hahahah mwamba Palladino wa kwa Zulu Natal nini 😂😂😂Happy birthday Jack Palladino.Hili penzi lidumu hadi siku moja ile special tule pilau kwa chai kwa hisani kubwa ya mrembo Saint Anne!😄😄😄
View attachment 1777263
Njoo tuzeeke pamoja basiHata mie napenda uzee jamani, [emoji23][emoji23][emoji23]
Ewaaa[emoji7]Leo nina shauku fulani ya kutuma picha.
Mambo matam namna hii sasa 😍😍😍Birthday girl[emoji512]View attachment 1777039
Hujai hata kwenye kijikoMimi mkubwa jamani.
Watu mnachat na dada zenu humu.
Huyo mzee wa chura amemshusha Sana babe wangu.Hahahah mwamba Palladino wa kwa Zulu Natal nini [emoji23][emoji23][emoji23]
Tatizo mnakadiria miaka kwa kuangalia miili[emoji23]shauri zenu.Hujai hata kwenye kijiko
Wee mie nna 39, bado 6 yrs nifike menopause. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Njoo tuzeeke pamoja basi
Hahahah nimeamini hakuna cha kudumu katika hii dunia isipokuwa kifo tu🤣🤣🤣Hivi kina Mbosso,Diamond,Baddest47 kijana wa Mwanjelwa huwa unawasikiliza pia?
Kaone kanavyopenda picha😂😂Ewaaa[emoji7]
Ongeza tena ingine.