Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

Nimekusubiri pale idd amin nduli airport nilikufungia tumishkak twa mbwa kwenye four-wheel lakini hukutokea
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Nilisahau kama hawana vituo kama vya tukuyu na makandana.[emoji38]
Ile mishkaki ya miamia kule haipo aisee,,Ni mateso.
Sema mimi niliona dalili tangu mwanzo,,ile view ya Jana imekaa kifwedha,na kila niliyekuwa namuona alikuwa amekaa kifwedha kasoro mimi tu[emoji1787]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Na Mimi nikashangaa leo hela umeokota wapi unazagaa zagaa maeneo hatarishi Kama yale [emoji23][emoji23]
 
Yaani rafiki yangu acha tu[emoji1787]
Hata mimi nilijua utashangaa[emoji38],,Kwanza hata mimi nashangaa[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23].

Nikaona huku siko kabisa,hakuna amsha amsha kabisa aiseee[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Eti Wana Restaurant tu!mimi huyu wa mishkaki ya miambilimbili ni wa kuingia Restaurant ?[emoji38]

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]kwakweli nilipatwa na mshtuko nikasadiki kua kweli mungu sio sanga
 
Eid Mubarak. Takaballallah mina waminkun [emoji178]
20210514_110856.jpg
 
Back
Top Bottom