Selfika na JF: Snap it. Show it

Wacha wee,
Hiyo miziki nimeisikiliza sana aisee miaka hito ya 2000..
Kaka zangu,mmoja huyo alikuwa anapenda hiphop,yaani basi atawasikilizisha weee aidha mnapenda au hampendi..yeye anawasha redio sauti kubwa kama tuko club.
Huyu mwingine alikuwa anapenda nyimbo za kuimba imba na za huko mamtoni...kila akiweka ananiita nimuangalie anavyocheza(anajua sana kucheza)
Nikajikuta hizi nyimbo nazijua sana automatically.

Sent from my SM-A105F using JamiiForums mobile app
 
Ooh really
jmn my crush Jack Palladino where are you ? Ukuje uku tukate keki ya selfka

Eeh ndo maan tukawa macrush mungu atutunze inshallah

Thanks you honey
 
Ooh really
jmn my crush Jack Palladino where are you ? Ukuje uku tukate keki ya selfka

Eeh ndo maan tukawa macrush mungu atutunze inshallah

Thanks you honey
Mmezaliwa tar 1 aiseee
,Hii imekaa vizuri..
Mtuandalie keki sasa tule humu ndani
.

Halafu mtaje na miaka yenu jamani

Sent from my SM-A105F using JamiiForums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…