Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

Siwezi nikaonja kitu inatisha namna hiyo

Sent from my SM-A105F using JamiiForums mobile app
Ikiwa imepikwa inatisha pia? 😂 😂 😂 Njoo uonje

images (6).jpeg

Hapo kuna mpaka prawns.
 
"Umbo namba nane ananichanganya toka moyoni nasema nampenda sana..Behaviorist piga hilo gitaa kama Santanaa ili nami nimpate Saint Anne"...najiimbia tu
Huyo umbo namba moja ananichanganya
Toka moyoni nasema nampenda sana
Hebu majani piga hilo gitaa zaidi ya santana ili na mimi nimuimbie baba
Huyo umbo namba moja watu wote mumuone
Unaitwa nani?
FidQ
Unaishi wapi?
Geto
Kazi yako nini?
Mziki
This song

Sent from my SM-A105F using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom