Saint Anne
JF-Expert Member
- Aug 19, 2018
- 78,498
- 235,199
Kule nyuma unakuta mtu anakaa seat ya watu wawili,amejitanua Kama yake pekeyake..hata ukienda kukaa hajiongezi kukaa vizuri.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] nimecheka km mwehu wallah
Hivyo vitu huwa vinanikera Sana...ili kuepuka kero ni aidha nikae mbele ama nikae nyuma seat ya dirishani.