Kumbe umesoma Sangu? Kuna mtoto wa mam mdogo nae alipita hapo, bas akisimulia visanga vya hapo mie hoi,
Kuna mwalim m1 wa kike jina nimesahau kidogo, huyo anasema hatamsahau had kufa kwake, anasema ni hatarii zaidi ya fire.
Sasa akiwa anasimulia mie mbavu zinaishiwa nguvu kabisaa, napatwa na hofu hadi na mie msikilizaji.