Grahams
JF-Expert Member
- Mar 19, 2016
- 18,842
- 57,491
Koh koh koh ..........🙈🏃🏻🏃🏻🏃🏻Pole sana,
si nikukabidhiana tu zawadi?!?
Utanikbidhi halafu utaondoka.
Koh koh koh ..........🙈🏃🏻🏃🏻🏃🏻Pole sana,
si nikukabidhiana tu zawadi?!?
Utanikbidhi halafu utaondoka.
Ukitaka tupige na stori location ni nyumbani boss.Koh koh koh ..........![]()
Nadhani mara nyingi wazazi huwa tunavutia upande wetu sana bila kuwasikiliza watoto nini wanawaza.Upendo ni jambo jema
Ila hata mimi nashangaa kama hao nyuma na najaribu kujiuliza, ndoa itafungwa wapi?
Umetoa maelezo mazuri sana ila bado hujanijibu swali langu.Nadhani mara nyingi wazazi huwa tunavutia upande wetu sana bila kuwasikiliza watoto nini wanawaza.
Mfano huo ni moja ya mifano mingi iliyovunja maisha ya vijana wengi na kugeuka makatili wa mapenzi.
Hawa wangeeleweshwa nini madhara ya kuwa na imani mseto,na zipi faida ya kutembea pamoja katika sala,kuabudu na kusifu sehemu moja,sidhani kama wangeshindwa kuuchagua upande uwafaao.
Ubaya ni kwamba wazazi tunaona hiki ni kitu kibaya,bila kuangalia kusudi la mahusiano ya watoto.
'Naomba nisaidie kitu,dini ni nini?'
Hivi Ustaadh muda wa mwisho kula daku ni saa ngapi?Karibuni Daku View attachment 1767128
Hiyo kwio imepikwa kipwaniKaribuni Daku View attachment 1767128
Matendo ya Mitume 3:19
[19]Tubuni basi, mrejee, ili dhambi zenu zifutwe, zipate kuja nyakati za kuburudishwa kwa kuwako kwake Bwana;

AmenBarikiwa
.Kweli naona kama nimepungua... ni kutokana na stress za mapenzi nilizonazo😔Umependeza sana CM😘😘😘hongera.
Ila naona hapa umepungua kidogo..ile nyingine kilikuwa kinaonekana.lakini sijakiona ujue😃
Asante sana mkuu !
Maskini aiseh pole CM Hivi kumbe hata nyie mapenzi yanawasumbuaga ee..pole aiseh.ila na sisi wanawake jaman tunatolea wapi ujasiri wa kumtesa mtu kama ChickMagnet jamani na muonekano huo mzuri mzuri..au labda pesa yako imeshikana na roho uchunwi kirahisi.🤔🤔🤔Kweli hatujui tunataka nini.Kweli naona kama nimepungua... ni kutokana na stress za mapenzi nilizonazo😔
Maskini aiseh pole CM Hivi kumbe hata nyie mapenzi yanawasumbuaga ee..pole aiseh.ila na sisi wanawake jaman tunatolea wapi ujasiri wa kumtesa mtu kama ChickMagnet jamani na muonekano huo mzuri mzuri..au labda pesa yako imeshikana na roho uchunwi kirahisi.Kweli hatujui tunataka nini.
Ila sio mbaya dear kunywa maji mengi utakaa sawa tu






Saa 10: 45Hivi Ustaadh muda wa mwisho kula daku ni saa ngapi?
Oh sawa.Saa 10: 45