Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

Hivi hapa ndiyo unampa mtu pole ama?
Maskini aiseh pole CM Hivi kumbe hata nyie mapenzi yanawasumbuaga ee..pole aiseh.ila na sisi wanawake jaman tunatolea wapi ujasiri wa kumtesa mtu kama ChickMagnet jamani na muonekano huo mzuri mzuri..au labda pesa yako imeshikana na roho uchunwi kirahisi.Kweli hatujui tunataka nini.

Ila sio mbaya dear kunywa maji mengi utakaa sawa tu
 
Maskini aiseh pole CM Hivi kumbe hata nyie mapenzi yanawasumbuaga ee..pole aiseh.ila na sisi wanawake jaman tunatolea wapi ujasiri wa kumtesa mtu kama ChickMagnet jamani na muonekano huo mzuri mzuri..au labda pesa yako imeshikana na roho uchunwi kirahisi.🤔🤔🤔Kweli hatujui tunataka nini.

Ila sio mbaya dear kunywa maji mengi utakaa sawa tu
salamam zikufikie
 
Maneno 36 tu kwa mujibu wa biblia ya kiswahili yaliyotamkwa na Shetani almaarufu Ibilisi yalitosha kubadili mpango wa Mungu dhidi ya wanadamu.

Na kumfanya Shetani kuwa moja ya kiumbe kuwahi kufanikiwa zaidi katika matumizi ya maneno.

Shetani anatukumbusha ili mtu aweze kufanikiwa lazima ajifunze kutumia maneno kwa usahihi ili kupata thamani.

Shetani pia anatukumbusha kuwa na uwezo wa kuongea haina maana kila neno unaloongea ni sahihi na lina thamani.

Shetani pia anatukumbusha kuwa na uwezo wa kuandika haina maana kila neno unaloandika ni sahihi na lina thamani.

Shetani mwisho anatukumbusha tuache kuongea na kuandika vitu visivyo sahihi na haviongezi thamani.

Watu wengi tumekwama kwa sababu tunaongea na kuandika takataka sana..
Ni maneno yapi hayo 36?
 
Screenshot_20210429-194400.png

Miaka yangu 78 imefanya akina Saint Anne , Heaven Sent wasinipokee stendi😅😅 bora nirudi Zanzibar tu, huenda Chakorii this time akanipokea manake pension yangu imetoka jana 🙈🏃🏻🏃🏻
 
Mwanzo 3:1- Ati! Hivi ndivyo alivyosema Mungu, Msile matunda ya miti yote ya bustani? (12)

Mwanzo 3:4- Hakika hamtakufa (2)

Mwanzo 3:5- kwa maana Mungu anajua ya kwamba siku mtakayokula matunda ya mti huo, mtafumbuliwa macho, nanyi mtakuwa kama Mungu, mkijua mema na mabaya. (22)
 
Back
Top Bottom