Grahams
JF-Expert Member
- Mar 19, 2016
- 21,160
- 64,777
Njoo tusome kitabu cha Wimbo uliobora kutoka kwa mtunzi mashuhuri, Mfalme Sulemani 🙈🙈🏃🏻🏃🏻Hakika siwezi kuchakaa maana Tenzi na Rohoni na tumwimbie bwana zimebeba jumbe ambazo hutoa furaha nyakati zote.