Chakorii
JF-Expert Member
- Jul 11, 2015
- 18,785
- 51,527
Vizuri Chief.pamoja sanaMapori ya pembezoni mwa mto Luhoi.
Vizuri Chief.pamoja sanaMapori ya pembezoni mwa mto Luhoi.
Nikiwa na fweza naweza kujipeleka shule nikapata hiyo Education..sijui tunaelewana hapoUkiambiwa uchague side yako hapo
Chakorii yeye amesema money first
Saint Anne amechagua fedha pia
@my selection was education but currently nime appeal baada ya kuona uhalisia. Money is everything 💪😜🏃🏻
Kuna zawadi imeongezeka tena?Kweli wewe ile zawadi itakufaa, muda wote huo upo kwenye viunga vya kanisa, muda wa kuvunja mifupa ndiyo huu jirani, nitapita kukuchukua twende ukavunje mfupa wa bata kule mtaani
![]()
Hili joto ninalohisi na presha ya kupanda na kushuka ninayohisi asubuhi hii ni ya aina yake toka nizaliwe..
Text zangu zimefumaniwa!
Kama text tu zinanifanya nihisi kama niko Jehanam, najiuliza ningefumwa kwenyewe ingekuwaje?
Uhuni sio deal Wakuu, mbona mateso kiasi hiki!
Nirudi zangu porini mie nikaishi kwa amani maana nahisi kusakwa.



pole sana sana.. Unajua ukiamua kuwa bondia usiogope za uso... Na mara nyingi apandacho mtu ndicho avunacho....pambana na hali yako mwanawani








Ukiambiwa uchague side yako hapo
Chakorii yeye amesema money first
Saint Anne amechagua fedha pia
@my selection was education but currently nime appeal baada ya kuona uhalisia. Money is everything![]()













😄😄Ehee pamoja sana..Eti pamoja sana..
Thank you kwa kuwa pamoja na mimi 🤗
Yaani Sisy Una moyo wa kipekee.
Ankal nakuja sasa hivi..kwani upo kilinge gani ankal?msata au lushoto?vipi ulishapata mrithi wa kilingeWatakuroga ankal nitafute fastaaa![]()
Kwahiyo ankal kanisa umeamua kulihamisha bichi kidimbwi likaywe mayimlisi tayali ankal niko bichi kidimbwi nakuya mayi
😄😄😄ankal wangu huyu sasaHapana ankal hapa nalilasti tuu...inaitangwa kazi na dawa![]()
Tunaondoa gari kwenda Mbeya kwa akina Saint Anne kula maparachichi.Mimi ni huyo ninaetoa jicho hapo!
View attachment 1764035



tuko nyaniAnkal nimempenda 👆msanii nataka kufanya nae collabo
Ankal nimempendamsanii nataka kufanya nae collabo








poapoa yupo kilingeni
Why did I do it on her?
Now I understand why ni bora kutokuwa na silaha kuliko kuwa nayo.
Maana ukiwa na silaha unakuwa na hamu ya kuitumia muda wote.
Nisamehewe I knew asingeweza kuhimili but I still pulled the trigger paaah!
Now she wanna go with me atelekeze her family.
Actually She is saying I am the only one who makes her feel special and alive.
Her husband treatments are terrible.
Sina rescue plan, may be I should take her kama sehemu ya kupambana na hali yangu. Hata hivyo mimi mwenyewe nimechukuliwa nilipokuwa mzembe.
Nitaibuka hivi mida flani ankal.🥂