Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

Wow she's beautiful, hongera kabinti kana kipaji cha uchoraji[emoji7] mi napenda watu wanaotumia left hands [emoji2369]
She is beautiful indeed. MashaAllah.


Hata mimi pia nahusudu left handed people.

Huyu she use both hands. Na anaandika vizuri tu mikono yote miwili. Ila left ndio ana speed
 
Watu wengi wanaotumia mikono yote kuandika huwa na nature ya ugenius.

Sijawahi kuona mtu anayetumia mashoto kilaza.
Huyo dogo akisoma na fine arts basi huko mbeleni atakuwa hatari, inaonyesha kuchora ni hobby yake na kipaji pia anacho.
Yah. Anachora kama hobby. Akiwa hana kazi yeye ni kuchora tu

[emoji28]
IMG-20210227-WA0035.jpg
 
Back
Top Bottom