Hii lips inaongea mengii,enzi za ujana isingenipita hii.Kumbe bila lipgloss inawezekanaView attachment 1765659
[emoji3590][emoji3590][emoji3590][emoji3590]Kumbe bila lipgloss inawezekanaView attachment 1765659
Uzee ni hazina mkuu..hongeraHii lips inaongea mengii,enzi za ujana isingenipita hii.
"Mungu fundi"
😄😄mtakatifu hizo pigo za ushawishi mimi bado hujanipata mdogo wangu😄[emoji3590][emoji3590][emoji3590][emoji3590]
Hebu pandisha pandisha hiyo picha.
Mimi nilikuwa nakuwa upande wa hela[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]View attachment 1765667
View attachment 1765683
Debate:
"Education is better than Money"
[emoji23][emoji1322]
Mweeeeee[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1][emoji1]mtakatifu hizo pigo za ushawishi mimi bado hujanipata mdogo wangu[emoji1]
You were lucky choosing that side.Mimi nilikuwa nakuwa upande wa hela[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Nilizipenda hela zaidi ila hadi leo hazinipendi.You were lucky choosing that side.
Mimi nilijidai napenda shule kuliko hela, juzi nikiwa mtu mzima nilifanya kikao na fedha kuomba upatanishi, I used to fool my self. Nadhani huenda nikasamehewa [emoji23][emoji85][emoji1322]
Usijali, nimeona kwenye bajeti 2021/2022 mmetengewa fedha za kuajiriwa. Hope Mama atatimiza hili, baada ya hapo utazishika mpaka uchokeNilizipenda hela zaidi ila hadi leo hazinipendi.
Hazina ushjrikiano na mimi kabisa[emoji856]
Mashallah
Asanteee, hongera pia kwa uzuri,naiona rangi asili ya mwafika.Uzee ni hazina mkuu..hongera
Hujambo mznz wewe..😊😊unapotea sna na wewe lohUsijali, nimeona kwenye bajeti 2021/2022 mmetengewa fedha za kuajiriwa. Hope Mama atatimiza hili, baada ya hapo utazishika mpaka uchoke
Utachonga Viazi 😀😀Mweeeeee[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Basi weka hata jicho,siku nikikamilisha kukusanya vipande vyote natengeneza picha kamili.
Amen..na iwe kama usemavyo Chief 🙏🙏🙏Asanteee, hongera pia kwa uzuri,naiona rangi asili ya mwafika.
Kama hujapata mume nakuombea Mungu akupe wakufanana na wewe.
🙏Mashallah
Mzanzibara miye sijambo, Juzi nilikuja hadi kwenu ukanifungia vioo.Hujambo mznz wewe..😊😊unapotea sna na wewe loh
Mtu kwao anaju kuchagua☺
Chaa![emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Utachonga Viazi [emoji3][emoji3]