Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

Chee chii choo chuu..[emoji1635][emoji1635]
[emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38]
Karma njoo umuone dada yako [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Huyu na Khantwe hawatofautiani Sana[emoji23][emoji23][emoji23][emoji119]
 
Mzanzibara miye sijambo, Juzi nilikuja hadi kwenu ukanifungia vioo.

Nikaamua nirudi Bara, nipe mwaliko mwingine baada ya Ramadan nije tena

Shughuli za kilimo zimenibada kidogo, njoo nikufundishe kushika jembe 🙈🏃🏻🏃🏻
Karibu Ramadhan tufunge pamoja aise..

Umeona uoga wako sasa we nae umeondoka mapema..

Unahisi sijui kushika jembe eheee..sasa kwa taarifa ni kwamba nikishika jembe nakuwa Chakorii mwingine kabisaaaa
 
[emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38]
Karma njoo umuone dada yako [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Huyu na Khantwe hawatofautiani Sana[emoji23][emoji23][emoji23][emoji119]
Unacheka sana na wewe loh!!ukimaliza kucheka ukanywe maji sasa maana mbavu hazitakuwa na ushirikiano na firigisi
 
Back
Top Bottom