Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

nilikua naku imagine kama boongeeeee.......kumbe imagination zilienda alijojo

hongera[emoji8]

Sent from my SM-N960F using JamiiForums mobile app
Thank you Gerry, ndiyo nipo hivo mkuu ila kama unapenda niwe kibongee i will do it for you, ntajilazimisha kula hata milo 6 a day😃😉
 
Thank you Gerry, ndiyo nipo hivo mkuu ila kama unapenda niwe kibongee i will do it for you, ntajilazimisha kula hata milo 6 a day[emoji2][emoji6]
hapana for me dont do that......mabonge kwa kweli hawanibariki[emoji2][emoji2][emoji2][emoji2] nawashangaa sana fans wa bonge nahs ni wagonjwa

mkuu wangu jinsi ulivyo ndivyo inavyotakiwa kua

sawa??

Sent from my SM-N960F using JamiiForums mobile app
 
hapana for me dont do that......mabonge kwa kweli hawanibariki[emoji2][emoji2][emoji2][emoji2] nawashangaa sana fans wa bonge nahs ni wagonjwa

mkuu wangu jinsi ulivyo ndivyo inavyotakiwa kua

sawa??

Sent from my SM-N960F using JamiiForums mobile app
Sawa mkuu nimekuelewa, ila tunatofautiana hizo nyama nyama zina raha yake kwanza unakua msoft tofauti na sisi tumekomaa mifupa mitupu😀😀
 
Neno hili likafanyike baraka kwako sasa na hata milele ...Aamen!
IMG-20210426-WA0255.jpg
 
Back
Top Bottom