Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

Mambo zenu ndg zangu, please natafuta faraja tu mimi moyo wangu unapitia maumivu makali sana mpka kuna muda namkufuru mungu ila maumivu haya sijui nimpe nan tu..

Sina hakika kama ni hadhabu nimepewa na mungu au ni binadamu tu ndo walivo..

Kusema ukweli leo ndo nimeamin binadamu hatupendan ata kidgo hasa yule unaye muona wa maan kwako hyo anakuwa snich kwenye maisha yako ..

mara nyingi nimekuwa mtu wa huruma sana hasa kwa wafanya kazi wenzangu, mdada tunaye fanya nae kazi mmoja wao nilimchukulia ndg kiasi kwamba tuliachiana magepu ya kazi pale wanapo tokea wateja wengi, nimekuwa mstar wa mbele sana kumsaport kuliko wengine wote..

Lakin amuwezi amini leo naumia kwa ajili yake, toka asubuhi ni kama naimeamka na gundu tu leo siku nzima hakuna mteja niliye mshika kumhudumia, ajabu kuna mteja kaja mpka mapokezi nikamuandika jina na nikachukua fail lake tayari kuangalia taarifa zake za awali ile bado nakagua nikaitwa nje kuna mzigo nilitakiwa kwenda kuuchukua jamn kutoka nje tu atua 5 narudi nashngaa kasha mchukua mteja wangu

Ilo halikinipa presh kinacho niumiza hyu dada kampgia boss simu anamwambia leo sifanyi kazi nipo tu nakalia kuchart wateja wanakuja kwa drisha langu siwasikilizi

Ukweli naumia boss kanipgia simu ananifokea kama mtoto ajabu ananiuliza kuanzia asubuhi usha udumia wateja wangap nikamjibu bado

aisee kafoka sana mpka naona kma nazalilika tu hapa nataman ata kuacha kazi kila nikmuona hyo dada napata hasira sijui kwa nn kanifanyia roho mbaya kama hii wakat ndo mtu wangu wa karibu

Hii hali inanifanya napata hasira kwa kila mtu anaye niongelesha, naona kama leo nimezalilika sana kibaya zaid wamenitenga aiseee nimekaaa kama mtu niliye fiwa adi nataman ifike saa mbili haraka nitoke hapa

Pole Sana

Usijenge matarajio makubwa kutoka kwa watu.
Tenda wema nenda zako.
 
20210426_214034.jpg
20210426_214323.jpg
 
Back
Top Bottom