Saint Anne
JF-Expert Member
- Aug 19, 2018
- 78,498
- 235,199
Aiseee[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Kweli walevi ni walevi[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Sent from my SM-A105F using JamiiForums mobile app
Aiseee[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Jack Palladino ni wako mtakatifu.ondoa wasiwasi.tulikuwa tunajadili maswala ya nchi kidogoDah[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Sent from my SM-A105F using JamiiForums mobile app
Hahaha huyu ni wangu Saint Anne na ana sifa zangu zoteJack Palladino ni wako mtakatifu.ondoa wasiwasi.tulikuwa tunajadili maswala ya nchi kidogo
Nimecheka sana hiyo sentensi ya mwisho[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Jack Palladino ni wako mtakatifu.ondoa wasiwasi.tulikuwa tunajadili maswala ya nchi kidogo
Ewaaaaaa....sasa ndo uache kupiga vyombo uweke chombo ndani JHahaha huyu ni wangu Saint Anne na ana sifa zangu zote
Sent from my SM-M305F using JamiiForums mobile app
Ehee bhana..tulikuwa tunajadili mawili matatu yahusuyo nchi..Nimecheka sana hiyo sentensi ya mwisho[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Ujue wewe ni comedian[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Sent from my SM-A105F using JamiiForums mobile app
Soon namuweka ndaniEwaaaaaa....sasa ndo uache kupiga vyombo uweke chombo ndani J
Eti kiburudisho X au wewe[emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji119]Ehee bhana..tulikuwa tunajadili mawili matatu yahusuyo nchi..
Fanya hivyo Chief.tukule ubwabwa na ndondo
Hapa nilikuwa namaanisha X kiburudisho wangu nilikuwa napenda avae kama Shem darling Jack.👇Eti kiburudisho X au wewe[emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji119]
Sent from my SM-A105F using JamiiForums mobile app
Hata mimi nilikuelewa hivyo sema yaani imenichekesha jinsi ulivyoongea[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Hapa nilikuwa namaanisha X kiburudisho wangu nilikuwa napenda avae kama Shem darling Jack.[emoji116]View attachment 1761757
🥂🥂🧚♀️🧚♀️
Ahaaa kumbee..ndugu mwananchi naomba uendelee kukaa kwa utulivu..kikao kizito bado kina endelea ofisini.asante kwa kutuaminiHata mimi nilikuelewa hivyo sema yaani imenichekesha jinsi ulivyoongea[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Sent from my SM-A105F using JamiiForums mobile app
Wala msijali[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Ahaaa kumbee..ndugu mwananchi naomba uendelee kukaa kwa utulivu..kikao kizito bado kina endelea ofisini.asante kwa kutuamini
Paukweli mkuu
Mchumba[emoji23]Wala msijali[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Chatini naye tu,mimi ninaye wiki nzima[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]ijumaa tu ndio namtoa anakuja hapa[emoji23]
Sent from my SM-A105F using JamiiForums mobile app