Behaviourist
JF-Expert Member
- Apr 8, 2016
- 39,924
- 95,728
Huwa namtania tu Saint Anne kwa sababu anapenda sana kula vyakula kwa chai!😂😂😂Gahawa ama la maziwa?
Huwa namtania tu Saint Anne kwa sababu anapenda sana kula vyakula kwa chai!😂😂😂Gahawa ama la maziwa?

Mie chai hadi usiku, penda sana
Nyie wenzangu mnawezaje kula bila chai,soda au juice?
Sent from my SM-A105F using JamiiForums mobile app
Mtagi vizuri hajaskia

Hata mimi napenda sana chai aiseee..Mie chai hadi usiku, penda sana

WachaWala msijali
Chatini naye tu,mimi ninaye wiki nzimaijumaa tu ndio namtoa anakuja hapa
Sent from my SM-A105F using JamiiForums mobile app
Haaa kwangu umeshaingia mzima au?nipe uhakika mchumba niandae mabeg kuja Mbeya
Hii comment kuna uzi nilishawahi kuisoma,sikumbuki uzi gani..yaani nilicheka sana.
Yaani nikitaka kucheka huwa nakuja jf.
Mchumba mm kubet sijui ila huwa naingia mzima mzima na vitenge,viatu,miwani yangu na maparachichi..najisomba mzima mzima
Sent from my SM-A105F using JamiiForums mobile app
Sasa nikuitaje mana mchumba ninae Crush ninaeWacha

Wikiend namuachia apigwe na upepo kidogo.Wacha

Hivi hujaona tu kama nimeingia hadi na maparachichiHaaa kwangu umeshaingia mzima au?nipe uhakika mchumba niandae mabeg kuja Mbeya
Sent from my SM-M305F using JamiiForums mobile app

.Bana bana nakuja MbeyaHivi hujaona tu kama nimeingia hadi na maparachichi
Mzima mzima,hata ukizingua sikuachi ng'oo.
Sent from my SM-A105F using JamiiForums mobile app

Chagua tu wewe Shem darling
Ahaaa basi nitakuita shem darlingChagua tu wewe Shem darling