Kashaija72
JF-Expert Member
- May 18, 2020
- 2,522
- 5,585
Duuuh. Hivi donlucchese Mshana Jr Tanzania Kuna nyumba za kwenda kushoot Kama shabaha?[emoji2][emoji2]View attachment 1759504
Moja ya nguzo katika imani (dini)yangu.Hapana mkuu, mm sijafunga. Naomba nikuulize kwann unafunga?
Sent from my SM-M305F using JamiiForums mobile app
Viazi kuwa mboga, umenikumbusha enzi za chuo. Daaah Kuna washikaji walitengeneza mchanganyiko wa Viazi, mayai, pilipili Kali, pilipili manga, hoho, tangawizi, n.k wakaupa jina la mkuu wa chuo. Hiyo mboga Kama sio mzoefu wa pilipili ilikuwa haimezeki.
Hapo lazma ushuzi uwe hatari! π€£ π€£ π€£Viazi kuwa mboga, umenikumbusha enzi za chuo. Daaah Kuna washikaji walitengeneza mchanganyiko wa Viazi, mayai, pilipili Kali, pilipili manga, hoho, tangawizi, n.k wakaupa jina la mkuu wa chuo. Hiyo mboga Kama sio mzoefu wa pilipili ilikuwa haimezeki.
Niliwahi kuisoma hii kesi enzi hizo nakariri Sheria ili nisipate sup, mwisho nikaipata. Daaah Mambo ya precedent cases.Carlill v Carbolic Smoke Ball Company
[emoji23][emoji23][emoji23]
Hahahaha we acha mkuu, law of contract.Niliwahi kuisoma hii kesi enzi hizo nakariri Sheria ili nisipate sup, mwisho nikaipata. Daaah Mambo ya precedent cases.
Aisee nilikua hapo sio muda mrefu[emoji38]Kazimoto [emoji39][emoji39][emoji39]View attachment 1761623
Mkuu hizi dini mm zilikitoka muda mrefu sana...now am non believer[emoji846]Moja ya nguzo katika imani (dini)yangu.
Aiseee sawa mkuuMkuu hizi dini mm zilikitoka muda mrefu sana...now am non believer[emoji846]
Sent from my SM-M305F using JamiiForums mobile app
Mimi ni mpenzi wa chai!πππVile tunaburudisha mdomo wakati tunasubiri usiku ufike tupike.
Wapenzi wa maparachichi karibuni tutafune.
View attachment 1761635
Ndugu yangu uko peace sana,najifunza tabia njema kutoka kwako mkuu.πππndugu yangu Behaviourist popote ulipo wewe ni ndugu wa faida , uzidi kubarikiwa mkuu
uzuri wewe ndo umenifundisha , ntazidi kujifunza ....keep it up mkuu sio kila mtu anaweza kuwa na moyo kama wakoNdugu yangu uko peace sana,najifunza tabia njema kutoka kwako mkuu.πππ
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]zipo kama zoteDuuuh. Hivi donlucchese Mshana Jr Tanzania Kuna nyumba za kwenda kushoot Kama shabaha?
Huwa naziona kwenye movie za marekani, watu wanaenda kulenga shabaha na kutoa stress
Chai hadi usiku[emoji1787]Mimi ni mpenzi wa chai![emoji854][emoji854][emoji854]