Selfika na JF: Snap it. Show it

Kweli mchawi siyo lazima apae na ungo usiku!!

Yaani hata wewe ni wa kuniombea mimi nisiache utoto kweli??
[emoji12][emoji12][emoji12]Hard for you to change Marianah.

Ila kuna wanaume kibao wanaelewa watu kama wewe hivyo hivyo ulivyo.

So huna aja ya kuhofia tabia zako.
 
Hivi mipango yangu sijakuambia eeeh???
Tatizo hunikumbushi[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Ipi hiyo mama?? Tatizo wewe msiri sana utafikiri usalama wa taifa yaani unanificha hata mimi dada yako??
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Mbona kama povu jamani, comment yangu haikuwa na ubaya ndani yake
Sio povu ila hua nachukia watu wanaonihukumu kwenye kitu flani kwa kuangalia umri wangu
 
[emoji12][emoji12][emoji12]Hard for you to change Marianah.

Ila kuna wanaume kibao wanaelewa watu kama wewe hivyo hivyo ulivyo.

So huna aja ya kuhofia tabia zako.
Hapana sibadiliki kwa ajili ya mwanaume ila nabadilika kwa ajili yangu mwenyewe huwa najisikia amani sana moyoni nikiwa mpole na mnyenyekevu kwa mtu yeyote yule hata kama siyo mume wangu au wazazi wangu...but not for now[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]oh please
 
Msamaha gani ule[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…