Mshana Jr
Platinum Member
- Aug 19, 2012
- 370,493
- 857,827
- Thread starter
- #98,261
Yeah that's a real thing [emoji1548][emoji2][emoji2]View attachment 1759504
Yeah that's a real thing [emoji1548][emoji2][emoji2]View attachment 1759504
Hivi vitu naviogopa[emoji134]Kabeba kiditopile[emoji23][emoji2839][emoji1550]
Yawezekana nitakuwa nilivua miwani, si unajua umri huu wa uzee bila miwani huoni mbali.Pole Sana[emoji23][emoji23][emoji23][emoji108]
Mimi mbona siimbi na juzi sikwenda church [emoji1787]
[emoji3][emoji3][emoji3]ninavyo viwili halafu vyote vina hirizi [emoji23][emoji23][emoji23]Hivi vitu naviogopa[emoji134]
Na nikijua mtu anako namuogopa aisee..unaweza mzingua akakumwaga nako ubongo[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji1548][emoji1548][emoji1548][emoji1548]View attachment 1759521uyole - mbeya
Daaah I miss homeView attachment 1759521uyole - mbeya
Hapana [emoji3][emoji16][emoji16]wao hakuna kuwapa Mimi hawanivutii hata kidogo!Dah, afadhali na sisi wenye sura personal sasa tumekumbukwa[emoji23]. Ila huo ushkaji hata sio poa, umpe tu kwa kweli ndio ushkaji utakuwa na nguvu.
[emoji3][emoji16][emoji16][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
Hivi siyo africa ambako mwanamke anayegawa hovyo anaonekana malaya
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Yawezekana nitakuwa nilivua miwani, si unajua umri huu wa uzee bila miwani huoni mbali.
Jumapili uje basi, utanikuta nasoma somo la pili[emoji3][emoji85][emoji1322]
Tobaaa[emoji86][emoji3][emoji3][emoji3]ninavyo viwili halafu vyote vina hirizi [emoji23][emoji23][emoji23]
Mmmh, mbona hatari hii. Hamna uhitaji? God have mercy [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Mikwamo ya aina nyingi tu
Hahaa wengine tuna uhitaji mdogo sana au sijui niseme hatuna kabisa uhitaji wa hiyo kitu hivyo hatutaki kuja kuwatesa watoto wa watu jamani
Nice bossNa Sisi wa mabandani tupoView attachment 1759680
Msalimie Saint Anne ukimwona, mwambie mgeni wake nimefika Mbeya alafu amenizimia simu 🙆😭View attachment 1759521uyole - mbeya
Chainizi ya karanga😋😋😋
😪😪😪taarifa zmemfikiaMsalimie Saint Anne ukimwona, mwambie mgeni wake nimefika Mbeya alafu amenizimia simu 🙆😭