Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

20210421_083420.jpg
 
Kabisaa yaani washkaji tu ila kunjanjuana nooo! aseehh!yaani Mimi mwanaume akiwa na six packs au sijui mweupee!yaani hata kushtuka Mimi sishtuki.Mimi sura personal ndo napendaga kuhusiana nao moyo mpk mtu akiniona Niko nae anauliza!!!ndo huyuu!??mi ndo naona rahaaaaa....[emoji4][emoji4][emoji4][emoji4][emoji4]kitambi kidogo,mweusi tiiiii!km simtank!bichwaa hilooo awe mfupi au mrefu I don't care
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Duuh
 
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
Hivi siyo africa ambako mwanamke anayegawa hovyo anaonekana malaya
Hata sijui Karma,
Siwezi kumuita mtu malaya eti kwa vile kanipa utamu, hivi naanzaje[emoji23]. Halafu kugawa hovyo kama ulivyosema ni mindset zetu tu, hakuna kitu kama "kugawa hovyo", unless kwa wauzaji na wanunuzi.
 
Back
Top Bottom