Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

Yangaaaaaaa
20210420_221829.jpg

Sent from my SM-N960F using JamiiForums mobile app
 
..wawe washkaji zako tu! Wanawake sijui mna nini aisee
Kabisaa yaani washkaji tu ila kunjanjuana nooo! aseehh!yaani Mimi mwanaume akiwa na six packs au sijui mweupee!yaani hata kushtuka Mimi sishtuki.Mimi sura personal ndo napendaga kuhusiana nao moyo mpk mtu akiniona Niko nae anauliza!!!ndo huyuu!??mi ndo naona rahaaaaa....kitambi kidogo,mweusi tiiiii!km simtank!bichwaa hilooo awe mfupi au mrefu I don't care
 
Dah, afadhali na sisi wenye sura personal sasa tumekumbukwa. Ila huo ushkaji hata sio poa, umpe tu kwa kweli ndio ushkaji utakuwa na nguvu.
 
Back
Top Bottom