Jadda
JF-Expert Member
- May 20, 2019
- 31,540
- 88,487
Daah sasa imagine una washikaji zaidi ya kumi! Ina maana wote hao unatakiwa uwape utamu ili ushikaji uwe na nguvu!Hata sijui Karma,
Siwezi kumuita mtu malaya eti kwa vile kanipa utamu, hivi naanzaje. Halafu kugawa hovyo kama ulivyosema ni mindset zetu tu, hakuna kitu kama "kugawa hovyo", unless kwa wauzaji na wanunuzi.
Ujue mimi nimesema hivyo kutokana na mitazamo ya wanaume wengi hata humu mitandaoni wapo wanaosema hivyo! Wanakwambia hakuna urafiki kati ya mwanaume na mwanamke halafu hapo hapo mwanamke anayetoa tu utamu kwa mwanaume hata ambaye si mpenzi wake anaitwa malaya au kahaba na anashutumiwa na jamii kuwa hafai kuolewa!
. Halafu kugawa hovyo kama ulivyosema ni mindset zetu tu, hakuna kitu kama "kugawa hovyo", unless kwa wauzaji na wanunuzi.





