Saint Anne
JF-Expert Member
- Aug 19, 2018
- 78,546
- 235,308
Mimi nna figure gani Lizarazu?[emoji12][emoji12][emoji12] Nyie ndio mmrbarikiwa bana.
Hizo packs mbona zinatafutwa ndani ya miezi michache tu unakuwa nazo za kutosha tena hata bila gharama.
Sasa nyie hizi figures kwa mtu ambaye sio naturally endowed anazitafuta kwa gharama kubwa kweli.
Ngumpalisha Uchala gwamakaGweshela jugwegwe
Hahahahh.. Marianah huwezi ukacha niamini mimi.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]halafu haujui tu mimi nikiolewa I will make a very good wife basi tu huwa najichetua akili ila I know someday nitaacha huwa nasema huu ujinga nisipoufanya sasa hivi nitaufanya lini tena nikiwa kwenye ndoa au??[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]sitaki kuruka stage mie!!
Nikisema ndio utazidi kuharibu kabisa[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]nimekuharibia wapi tena mdogo wangu??
Hizo lips jamani..!! Nimemuonea wivu anayezikunywa.!!
Haha'.. Wazee wa single single.!!Hahahaaaa. Si ndo niko singo sasa mama
[emoji28][emoji28]shangaa ila usibishekwa sasa mimi siyo wife material kabisa na wala sina mpango wa kuolewa ila nikianza kufikiria kuhusu kuolewa nitakuwa tu wife material [emoji44][emoji44][emoji44][emoji44][emoji44][emoji44][emoji87][emoji87][emoji87][emoji87]
[emoji38][emoji38][emoji38]Basi sawa
Hapana wifi[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Jidai mbabe[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]JF is the only place where we can dare talk openly, besides JF there's no other place where we can confidently express our disgruntlements about this fascistic government.
I personally won't stop to animadvert this reprehensible government and no one will snatch me.
Acha kututisha mzee baba.
Haha'.. Wazee wa single single.!!
Kupendeza hivi nabonyeza ngapi
Na ni mzuri halafu.. rafiki zangu wote niliowaleta huku ni wazuri
Cc
Phenomenal woman
Juicy
Bubbles J we nyau sina hakika sana na ID yako ila
😆😆Ndege wanaofanana ndio huruka pamoja...kwa hiyo sababu wewe si kisu bali ni panga kabisa lazima uwe na marafiki mapanga wenzioNa ni mzuri halafu.. rafiki zangu wote niliowaleta huku ni wazuri
Cc
Phenomenal woman
Juicy
Bubbles J we nyau sina hakika sana na ID yako ila
[emoji38][emoji38]I had a very busy dayUmeshamaliza kubeba chuma?
[emoji7][emoji7][emoji7][emoji7]Love you more
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]aiseMimi najiandaa kuolewa.
Muda wowote zari likiniangukia najilipua .
Nataka nilee familia ningali Nina nguvu [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]