Hazard CFC
JF-Expert Member
- Apr 7, 2015
- 16,631
- 38,749
Mbona mimi nipo decent ila huko piemu kuna vumbii balaaa...hata njia ya kwenda huko nishasahauSiyo mimi wala wewe tu! Wengi wanamkubali kwa sababu wanadhani yuko hivo kumbe mweee fikajapo na fimo!
Si unajua wanawake wengi JF wanapenda wale wanaume ambao wanaonekana wako very decent kwa sababu kwenye dunia ya sasa wamebaki wachache na wanahesabika! Binafsi nilishaanza hadi kumpongeza aliyenaye kuwa ana bahati!
Huogopi kuanguka kipendhiiiih.[emoji151]View attachment 1752646
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] huko mahenge ndo baraha sasa, yaan barabara kutoka ifakara hadi mahenge ni shida tupu, mlima ndororo ule ni noumaaah mweeeh, tena isingekua lami sijui inakuaje lol.Morogoro ni mpana umbali kutoka centre kwenda huko mahenge huko si mchezo, ukizingatia barabara halina lami ni tabu tupu..
Ila kuivuka moro kutokea pwani kwenda dom ni dk 0 tu.
Kwa hivyo siogopi..ila kuna vingine sivigusi😃😃Huogopi kuanguka kipendhiiiih.
[emoji23][emoji23][emoji23] aseeeeh mna moyo yaan heels hivo lol.Kwa hivyo siogopi..ila kuna vingine sivigusi[emoji2][emoji2]
Ewaaaaa....anko frog asante sana..
Kwa style hii ninaahidi kukupenda daima[emoji3059][emoji3059]
Ngoja nipike ugali sasa
Haya ukatumie kofta sasaKho kho kho kho kho
We nae si kila mara loh!!mara chache inapohitajika na kujisikia[emoji23][emoji23][emoji23] aseeeeh mna moyo yaan heels hivo lol.
Akija kuweka basi mimi sijui hata nitafanya nini humu[emoji848][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Aliyesema siku ukiweka picha yako atatoka jf ni espy siyo sisi
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji119]Mbona mimi nipo decent ila huko piemu kuna vumbii balaaa...hata njia ya kwenda huko nishasahau
Nyuzi 2Uwii uzi Gani huo
Yaani mimi nilikuwa nataka niseme ila nikawa nakosa pa kuanzia[emoji23]Siyo mimi wala wewe tu! Wengi wanamkubali kwa sababu wanadhani yuko hivo kumbe mweee fikajapo na fimo!
Si unajua wanawake wengi JF wanapenda wale wanaume ambao wanaonekana wako very decent kwa sababu kwenye dunia ya sasa wamebaki wachache na wanahesabika! Binafsi nilishaanza hadi kumpongeza aliyenaye kuwa ana bahati!
Kalumbuuuuu
You're missed
hahahahaahhaha bwana weeeee....nimesemwa na mwanyakyusa wenzangu mpaka nikajiona nimekua mzaramo[emoji2][emoji2][emoji2][emoji2]Kalumbuuuuu
Umefuta tattoo?[emoji23]
Mazingira yanawabadilisha watu, situations zinawabadilisha pia. Kuna mambo mengi yanatubadilisha, ndio maana unaweza kusoma comments za mtu miaka mitano iliyopita, ukilinganisha na mwaka huu ukajiuliza imekuwaje tena mbona huyu hivi..Ely hivi na wewe ni type ya kina naniliu? Maana kuna comments zako kuhusiana na hayo mambo zinaonesha na weye ni wale wale au nimekosea?
Kuna muda unaonekanaga muaminifu saaanaaa tena saaanaaa yaani haunaga hayo mambo ila kumbe mmhh! Na wewe unaonekana si haba aiseee!
[emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38]hahahahaahhaha bwana weeeee....nimesemwa na mwanyakyusa wenzangu mpaka nikajiona nimekua mzaramo[emoji2][emoji2][emoji2][emoji2]
Sent from my SM-N960F using JamiiForums mobile app