cocastic
JF-Expert Member
- Nov 30, 2019
- 116,289
- 187,943
Mnawezaje sasa kula parachichi? Mie nikiona hata m2 anakula pemben napatwa na kichefu chefu. AseeeehMimi napenda Sana parachichi
Mnawezaje sasa kula parachichi? Mie nikiona hata m2 anakula pemben napatwa na kichefu chefu. AseeeehMimi napenda Sana parachichi
MmmmmmmmmhMnawezaje sasa kula parachichi? Mie nikiona hata m2 anakula pemben napatwa na kichefu chefu. Aseeeeh
Duuuh kweli [emoji1649] unapenda lol, [emoji119][emoji119]Karibuni tuleView attachment 1751267
Muandiko sasa [emoji7][emoji7][emoji7][emoji110]View attachment 1751335
Ngosha na wee unapenda parachichi? [emoji23][emoji23][emoji23]Mmmmmmmmmh
Hujambo mkuuAbeee
Ndiyo napenda ng'wanikeNgosha na wee unapenda parachichi? [emoji23][emoji23][emoji23]
Tobaaaaaaah weeeh lol, hongera yakoNdiyo napenda ng'wanike
Kwa nini wewe hupendi maparachichi na ukiona mtu anakula unahisi kichefu chefu au huwa unayafananisha na nini maparachichi yetu?Tobaaaaaaah weeeh lol, hongera yako
Bas tyuuh imetokea kutoyapenda, na kila nionapo mtu anakula huwa napatwa na kichefu chefu, lakini hakna nachoyafananisha nayo.Kwa nini wewe hupendi maparachichi na ukiona mtu anakula unahisi kichefu chefu au huwa unayafananisha na nini maparachichi yetu?
Karibu nyumbani jioni ya leoMbona hatukaribishani kufuturu jamani[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji3][emoji3] [emoji2][emoji2]Kwahiyo nimwambie aliyenificha litampata tukio si ndio[emoji1][emoji1]
Au tuongee na ankali mshana amfanye msukule nini[emoji23]
[emoji23][emoji23] [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] jaman kwani niliwaza nini siku hiyo..chaaa..
Hivi aliibadilisha kweli![emoji23][emoji23]
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]et na ww una tattoo[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Sent from my SM-N960F using JamiiForums mobile app
[emoji2297][emoji2297][emoji2297][emoji2297]hahahahahhahahaha nina mpango niongeze tattoo...nitaandika KARMA
si itasound???.....
Sent from my SM-N960F using JamiiForums mobile app
Mdogo Wangu wapi hiyo[emoji41]
View attachment 1751316
Kitu uelewi ni kwamba hata kwaya ni ulevi pia, imagine mtu anatoka mbeya kaacha familia na mtoto Mchanga anakwambia anaenda kwenye sijui tamasha.Haki ya nani mpira ni kama Ulevi.
Yaani watu wapo tayari kung'atwa na mbu muda huu sababu ya mpira [emoji119]
Yaani nilichomaanisha mimi ni hicho kwa maana ya uraibu.Kitu uelewi ni kwamba hata kwaya ni ulevi pia, imagine mtu anatoka mbeya kaacha familia na mtoto Mchanga anakwambia anaenda kwenye sijui tamasha.
Kila mtu anakaulevi kake,sio lazima iwe pombe.