Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

Yaani nilivyoona picha nikacheka weee..nikajikaza bila kucomment.
Amekuja karma ni Kama amenitekenya[emoji1787]nikaporomosha cheko lote kwa comment[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Mwee Kalumbu ifindu ifyo mma fyoma
karma nae kauliza kikuda[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]mwenyewe nikacheka then nikaiangalia my tattooo..
.

Karma siko nyuma ni tattoo mama

Sent from my SM-N960F using JamiiForums mobile app
 
Yaani nimecheka Sana [emoji1787]
Comment ya Karma imenimaliza nguvu[emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38]

Naye ni kama ameshangaa kweli wakina mwakalinga na tattoo wapi na wapi [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Kama wewe ulivyo mlevi wa JF Mkuu.
Jamani[emoji38][emoji38][emoji38][emoji38]
Yaani eti watu wapo kuteseka muda huu wanaangalia mechi.

Mimi Mpira nishaacha kuangalia maana nahisi ningekuja kuvunja Tv..huwa narusha miguu na mikono as if na mimi nipo kwenye kikosi.
Nikaona napata tabu sana,nikaamua niache tu kuangalia.
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
FB_IMG_1618311864068.jpg
 
Yaani nimecheka Sana [emoji1787]
Comment ya Karma imenimaliza nguvu[emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38]

Naye ni kama ameshangaa kweli wakina mwakalinga na tattoo wapi na wapi [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
hahahahahhahahaha nina mpango niongeze tattoo...nitaandika KARMA

si itasound???.....

Sent from my SM-N960F using JamiiForums mobile app
 
Kwa matatizo hayo hata mimi ningeacha..

Si bure ungekuwa unaenda uwanjani ungeng'oa hata viti...

Mpira ni mchezo wa kistaarabu.
Mimi huwa napata tabu sana.
Siwezi kutulia[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Hadi mechi kuisha basi viungo vyote vinauma.
Nikaamua tu niache kuangalia mpira.
Sasa timu yangu ikifungwa ndiyo kabisa napagawa[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]siwezi vumilia kuona hayo maumivu ya kufungwa.
 
Back
Top Bottom