Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

Nikisema hapa nitaonekana wa ajabu Sana[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Nina ulevi Kenya vitu vya ajabu hadi najishangaa.
Hakuna cha ajabu chini ya jua.
Ndio maana jina lako ni tofauti na mwingine,so everyone has her/his own unique.
We sema tu wala usihofu.
 
FB_IMG_1618354743755.jpg
 
Hakuna cha ajabu chini ya jua.
Ndio maana jina lako ni tofauti na mwingine,so everyone has her/his own unique.
We sema tu wala usihofu.
Itoshe kusema nina ulevi na vitu vya ajabu aisee[emoji38][emoji38]
Ndiyo maana mlevi wa pombe akiniambia anashindwa kuacha huwa namuelewa sana.
 
Mwenyewe nalipenda Dom to Dar juzi nimefanya booking nimekosa imejaa!!
Yaani mimi nipo radhi kulisubiri hata siku 2 ili mradi nipate seat.
Sijui hata waliniroga na nini Shabiby[emoji23],pamoja na kwamba hawagawi hata pipi ya hamsini ila mie nalipenda hivyohivyo.
Safari zangu za Mbeya-Dom nimelipanda sana aisee.
 
Back
Top Bottom