Selfika na JF: Snap it. Show it

Inshallah

Tukijaaliwa uzima na afya mama ...na mimi niyapate mawaidha yako mubashara[emoji16][emoji16]

Yani basi purukushani tu nilikuwa hukoo wanapaita mlimba sijui [emoji16][emoji16][emoji16]




Yaani ni umenichekesha kupita maelezo jamani, pole kwa mkasa. Eti simuoni boda wala boda yenyewe[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Hhaahahahaahaha endelea kuchochea karama yako ya uvumilivu. Umenichekesha sana hapo mwishoni.

Bana mimi huwa nikiamua kuonana na mtu, nanyoosha tu na milonjo yangu sina habari. Ni vile siku hizi nazeeka + majukumu, kuna muda nakwama. But tuombe uzima bana, tutaonana mdogo angu.

 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…