Saint Anne
JF-Expert Member
- Aug 19, 2018
- 77,819
- 233,246
![]()
Au ile treni ya Gerezani - Pugu
Haha namiss sana safari za treni aisee! Mbona haukututumia hata kapicha sasa jamani?
Wana nondo sana though mimi namkubali HS zaidi atleast ndiye ambaye naweza taniana naye humu ila Mtende namuona yuko serious sana and so far mimi na yeye hatujawahi interact humu! Huwa naona mnainteract mara kadhaa na inaonekana you guys mmeclick vipi unafahamiana naye nje ya JF?
Duuh pole sana aise next time bora upande treni utaenjoy sana! Ila last time nilivyopanda treni kulitokea ajali ile section ya mlimba kuna treni ya mizigo mbele huko ilipata ajali kwahiyo treni yetu ikapigwa stop mlimba pale tukaambiwa tusubiri hadi lile treni liilopata ajali litolewe na reli itengenezwe ndiyo tuondoke uliza tulikaa masaa mangapi!
Tulisimama asubuhi tukaja kuondoka kesho yake asubuhi muda kama ule wenye ndugu au jamaa zao pale mlimba hawakulala kwenye treni walienda kulala huko na sisi abiria tulioanzia safari dar wakatugaia hela za msosi sababu ya muda tuliopoteza! Ninachoshukuru ni kwamba tulisimama sehemu yenye mtandao pale pale mlimba stesheni vinginevyo tungekoma maana si unajua treni zinakopitaga!
Mimi wote nawakubali ila Heaven Sent namkubali zaidi sana since day one na ndiye ninayetamani sana nifahamiane naye nje ya JF ila nawaza namuanzia wapi! Ukizingatia HS siyo mwepesi kumuamini mtu yaani hadi akuamini aisee basi ujue ni kakupenda sanaaaaa ila Mtende ndiyo kabisaaa hata nikitaka kufahamiana naye nitajisumbua tu maana hapa jukwaani hatuna mazoea kabisa!

.Ngoja tuoneMkwara unasaidia sana Hebu tuone ila binafsi nikimwangaliaga ananvyoongea naona ni kamanda ila anatumia sauti ya bluzi kuongoza gwaride
Nitakuja likes tujadili kuhusu hii pichaWapi Saint Anne.
Njoo kule kuleView attachment 1748738





Kipindi kile cha Marianah alibishana na Nyenyere hadi comments 1000 na kituHahaha nahivi mimi ni feminist mwenzio, lazima tupendane tu lol.
Hahaha kwa hiyo mdogo angu unashindwa kuelewa utanianzia wapi? Yani hadi nimecheka, umejuaje kama mimi ni mgumu kuamini watu? Tuombe uzima mdogo angu, nitafanya njia tuonane kwa kweli. Hii ni ahadi ya kweli sio kama ile yakupost picha humu.
But thanks for the compliment nkamu, it means a lot. Kwa kweli huwa unanibariki sana kwenye nyuzi zetu za kupambana na wale watesi wetu; nikikuona tu roho yangu kwatu. Especially kipindi kile ukiwa Marianah, yaani huwa unanikonga moyo. ukianza kubishana hadi nasema eeeh damu ya kinyaki. Ubarikiwe.



billdragoTwende sasaView attachment 1748740










Oh akhsanteI give you the crown![]()

Hahaahahahaahahahahahahaha dahbilldrago
Kuna kasupu kenu huku mashemeji zangu wahehe
Sent from my SM-A105F using JamiiForums mobile app
Hapo ukipata na ulanzi wa bariiidi safiii Kama namuona Bibi pale isimani kilabuni na wkend hiibilldrago
Kuna kasupu kenu huku mashemeji zangu wahehe
Sent from my SM-A105F using JamiiForums mobile app
Kadogi kateke mwananguHahaahahahaahahahahahahaha dah





Akiwa na mrija wa dripu,na lemba kichwaniHapo ukipata na ulanzi wa bariiidi safiii Kama namuona Bibi pale isimani kilabuni na wkend hii






Hahahahaha kateke unatafuna mpaka mifupa
Akiwa na mrija wa dripu,na lemba kichwani
Tutawaambia nini sisi
Sent from my SM-A105F using JamiiForums mobile app




amewaka hatari mida hii haelewi kituUkimaliza kutafuna basi unaenda kupata chochote kituHahahahaha kateke unatafuna mpaka mifupa





Inasemekana alieturoga Mara ya mwisho alionekana na mkwawa kalengaUkimaliza kutafuna basi unaenda kupata chochote kitu
Aliyewaroga alikufa na vifaa vyake
Sent from my SM-A105F using JamiiForums mobile app