Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

Huyu ndugu yangu simuelew ...kuna siku kanambia amempata gireee yaan kufa kuzikana

Leo anaomba busu kwa huyu wa karma ndo nikawa nauliza ni aka yake au
😁😁😁si mapenzi huota popote 😁😁

Ila umejua kuharibu dili za watu 😆😆
 
Haya mambo magumu sana.
Walimzurumu mtu mazao yake baada ya kumkodishia shamba,wakaja kumruka kuwa hawakumkodishia.
Jamaa naona kawazidi maarifa upande mwingine,hapo wanaenyeka hawajui chochote.
Duh hii ndio habari yake kumbe...[emoji3064][emoji3064][emoji3064][emoji3064]
 
Tuyaache atasusa kunisaidia nikikwama ndugu yangu kichwa kibovu namjua
🤣🤣🤣🤣eti kichwa kibovu..sawa nimeacha.undugu wenu na anko frog naomba uendelee tafadhali😁😁
 
  • Thanks
Reactions: Lee
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]eti kichwa kibovu..sawa nimeacha.undugu wenu na anko frog naomba uendelee tafadhali[emoji16][emoji16]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] kiukweli nashukuru
 
Back
Top Bottom