dingihimself
JF-Expert Member
- Jan 9, 2016
- 9,829
- 20,335
Kamanda ndoa yako na Shunie, ilishia wapi mana ni kitambo kidogoNikiita changu lee nina kesi ?
Kamanda ndoa yako na Shunie, ilishia wapi mana ni kitambo kidogoNikiita changu lee nina kesi ?
Pole yako😁😁anko frog ni mtata 😁😁Etiii ananioneaa wivuu
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]Jeiefu watu wanajua kutunza kumbukumbu[emoji16][emoji16]chaaah...
[emoji2935][emoji2935][emoji2935][emoji2935] Karma
Kuna kakufanyia kama ulivyomkomalia Behaviourist 😁😁😁Haahahahahahah
We si unanitengaMangi itabidi siku moja nikushike mkono tusalimiane laivu
Haya karibu sana[emoji38]Niko njema kiaina.[emoji16][emoji16]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Kabisa aise! Kule kwenu hamchafui mazingira mmekuja kuwachafulia wazaramo huku! [emoji3][emoji3] [emoji2][emoji2]Mnooo...oxygen ni nyingi sanaa
Aah kapo ilitrendi hii acha tu niliandaa kabisa kisuti cha kulia piliau, nimeona sasa muda umeenda kimya kingi.
Narudiii kapuku kwanza nitarudiKuna kakufanyia kama ulivyomkomalia Behaviourist [emoji16][emoji16][emoji16]
Eti Chakorya...mimi sikuimalizia waaahiii ilikuwa ni ndefu.[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
Nakumbuka vizuri maana hili swali nilikuulizaga mwenyewe
Nilikuwaga naipenda sana ile series. Wenyewe eti kuna muda Walikuwaga wanamuita Chakorya.
Ndoa tayari tuna wajukuuAah kapo ilitrendi hii acha tu niliandaa kabisa kisuti cha kulia piliau, nimeona sasa muda umeenda kimya kingi.
Bado mimi na Wewe tu, sema hatupendi kiki
Ushampeperushia mwenzio ndege wake😁😁hakawii kurudi jukwaani kwake we subiriAah kapo ilitrendi hii acha tu niliandaa kabisa kisuti cha kulia piliau, nimeona sasa muda umeenda kimya kingi.
Bado mimi na Wewe tu, sema hatupendi kiki
Hahaha kuishi huko hapana napenda kuja kutembea tu! Trevor mzima?Karibu..sijaaoa maamuzi ni yako kuja kuishi huku hahahaahaa
😁😁😁😁kwani anko frog alikimbia jukwaa😁😁rudiiiiNarudiii kapuku kwanza nitarudi
Comment yangu umeielewa?Dogo,
Kama vipi mfuateni. Kwani si tuna rais mpya au?? Au hakufai wewe??
Safiiiiiiiii🧚♀️🧚♀️🧚♀️🧚♀️Ndoa tayari tuna wajukuu