Ooh na-na -na,Hahahahhah![]()
Tunaheshimiana hatuogopani.Hahaaa nimecheka tena kwamba mume wangu kasha pita![]()
Yuko malindoni jf kuna ndoano wengi sana samaki wake anaweza kwenda akizubaaa
Alafu kumbe mnamuogopamkwepu jr wangu simbaaa
![]()
Niagize zawadi ya kuja nayo🙊🏃🏻Mbali na barabara.
Hawezi kutoka kirahisi hivyo.Si ulimruhusu kutoka jf![]()

Uwiiii unakumbuka shuka wakat kumekucha
Hay hyo mchumba ako yuko wap![]()




Kila la Kheri boss.Nashukuru kwa Tahadhari.
Hardcopy ya kitabu Cha nyimbo za Kikristo na Tenzi za Rohoni.Niagize zawadi ya kuja nayo![]()
Khaa!🙆 mbona nduguyo Chakorii hajawahi kuagiza zawadi hiyo?😂😂Hardcopy ya kitabu Cha nyimbo za Kikristo na Tenzi za Rohoni.
Nitashukuru Sana.
Kanisani hatuna ndoa za wake wawili.Khaa!mbona nduguyo Chakorii hajawahi kuagiza zawadi hiyo?
Kwa jinsi hiyo lazima nikupeleke kanisani moja kwa moja, andaa mashahidi tu.
Utaniambia unataka wedding ring ya dhahabu, almasi au nini??![]()
Acha kukaza shingo mtakatifu...chukua Bwana harusi huyooo..kwani alikwambia ameoa?wewe ndo utakuwa wa kwanzaKanisani hatuna ndoa za wake wawili.
Unaona sasa mambo yako ya kulinganisha watu...utakwenda na maji ohooooo...fanya anachotaka umpate mtakatifu.fanya chap maana yuko singal ujue🤪🤪Khaa!🙆 mbona nduguyo Chakorii hajawahi kuagiza zawadi hiyo?😂😂
Kwa jinsi hiyo lazima nikupeleke kanisani moja kwa moja, andaa mashahidi tu 😀.
Utaniambia unataka wedding ring ya dhahabu, almasi au nini??🙌
Amekubali awe bimdogo, wewe unabaki wakwanza😜🙈🏃🏻Unaona sasa mambo yako ya kulinganisha watu...utakwenda na maji ohooooo...fanya anachotaka umpate mtakatifu.fanya chap maana yuko singal ujue🤪🤪
Baby nahisi Junior wetu ali login kwenye akaunti yangu humu. Sijui alikuwa anachati nini sijui🙆🏃🏻🏃🏻Ni kweli kabisa siwezi kupita
Chakorii huyu huyu au Chakor ndo bi mkubwa🤪🤪hatari sanaAmekubali awe bimdogo, wewe unabaki wakwanza😜🙈🏃🏻
Kwani mtakatifu analizungumziaje kwanza kabla ya mimi kupitaBaby nahisi Junior wetu ali login kwenye akaunti yangu humu. Sijui alikuwa anachati nini sijui🙆🏃🏻🏃🏻
Ni wewe baby, kumbuka uliposema nikutafutie mwenzako ili akupungize majukumu yale makubwa 🙊Chakorii huyu huyu au Chakor ndo bi mkubwa🤪🤪hatari sana