Jack Palladino
JF-Expert Member
- Feb 24, 2018
- 7,245
- 22,552
Nimekombolewa na Yesu
Aliyenirehemia
Kwa bei ya mauti Yake
Nimekuwa Mtoto wake
Kombolewa
Nakombolewa kwa damu ya Yesu
Kombolewa
Mimi mwana wake kweli.
Kukombolewa nafurahi
Kupita lugha kutamka
Kuliomyesha pendo lake
Nimekuwa Mtoto wake
Najua taji imewekwa
Mbinguni tayari kwangu
Muda kitambo atarudi
Alipo nami niwepo.

Shikamooo saint anneHuku kwenye bongo fleva ndo mnapotea kabisavita penzi nitapiganaaaa
Nikiamini utarudi we changamaaa
maana siko sawa ujueee
Mkuki kwa nguruwee
Kwa binadamu mchunguu
Wanao gombanaaa
Siku zote ndo wanao patanaaa
ama unapenda ninavyo lalamaaa
Sijui nilipo kosa ujueee
Ama lengo uniueee
Me najua we ndo langu gunguuu
Jack Palladino Saint Anne View attachment 1741782

Ijumaa kuu LeoShikamooo saint anne

Poleee

Wala hakuna ugomviMumebaki wawili myajenge tafdhali me nalala zangu
Mwanamke siku zote usikubali kulala na ugomvi ikiwa unauwezo wa kuumaliza namkala kwa amani
kwa wana ndoa kulala na hasira kila mmoja mnalala mumetegeama migogo aistaili kitandan sio sehem ya kuchuniana
Saint Anne ugomvi uishia seblen sio ufike chumban![]()
wizo wangu.

barida tu

huu wimbo nimekumbuka tulilazimishwa kuimba tulivyomaliza Ue yetu ya mwisho.Mumebaki wawili myajenge tafdhali me nalala zangu
Mwanamke siku zote usikubali kulala na ugomvi ikiwa unauwezo wa kuumaliza namkala kwa amani
kwa wana ndoa kulala na hasira kila mmoja mnalala mumetegeama migogo aistaili kitandan sio sehem ya kuchuniana
Saint Anne ugomvi uishia seblen sio ufike chumban![]()

Wewe unaonaje kwani?