Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

Nisamehe mchumba wangu!..mm niliumia pia kuona una Crush[emoji24]

Sent from my SM-M305F using JamiiForums mobile app
Unalipiza au siyo??
Yaani yule angeanza yeye kukwambia,wala tusingefika huku...lakini ulianza wewe kumwambia.

Mimi wapi uliona nimeanza huo mchezo??

Safari njema kaka Palladino [emoji23]
Mimi siwezi beba maumivu kizembe..najiengua tu.
 
[emoji445]
Screenshot_20210403-000857_Shazam.jpg

Sent from my SM-M305F using JamiiForums mobile app
 
Unalipiza au siyo??
Yaani yule angeanza yeye kukwambia,wala tusingefika huku...lakini ulianza wewe kumwambia.

Mimi wapi uliona nimeanza huo mchezo??

Safari njema kaka Palladino [emoji23]
Mimi siwezi beba maumivu kizembe..najiengua tu.
Mwanamke mnafiki wew eti kaka Palladino, nimeshindwa kuvumilia ikabidi nicheke tu😆😆.
 
Back
Top Bottom