Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

.
IMG20210403095456.jpg
 
Mara nyingi tunapokuwa tuna ibada/sadaka ya shukrani kama familia, huwa tunaomba tusindikizwe na tenzi hii

1. Mungu amenihurumia,
Tendo hili kubwa sana,
Sikustahili jambo hili,
Nimelipata bure tu!

Sasa najua hayo yote X2

Nasifu rehema zake X2

2. Nalistahili kupotea,
Lakini nahurumiwa,
Mungu amenipatanisha,
Na yeye kwa Yesu Kristo,

Sababu hii namtumikia X2
nasifu huruma yake X2

3. Mungu mwenye huruma nyingi,
Usininyime huruma,
Naitafuta siku zote,
Nikiulizwa na watu,

Hivi vyote vyatoka wapi? X2
Nasema ni huruma…

Nalistahili kupotea
Lakini nahurumiwa
Mungu amenipatanisha
Na Yeye kwa Yesu Kristo

Hivi vyote vyatoka wapi?
Nasema ni huruma tu!
 
Mara nyingi tunapokuwa tuna ibada/sadaka ya shukrani kama familia, huwa tunaomba tusindikizwe na tenzi hii

1. Mungu amenihurumia,
Tendo hili kubwa sana,
Sikustahili jambo hili,
Nimelipata bure tu!

Sasa najua hayo yote X2

Nasifu rehema zake X2

2. Nalistahili kupotea,
Lakini nahurumiwa,
Mungu amenipatanisha,
Na yeye kwa Yesu Kristo,

Sababu hii namtumikia X2
nasifu huruma yake X2

3. Mungu mwenye huruma nyingi,
Usininyime huruma,
Naitafuta siku zote,
Nikiulizwa na watu,

Hivi vyote vyatoka wapi? X2
Nasema ni huruma…
Hii tenzi huwa initoa sana machozi.
Kila tar 2.2 huwa naiimba siku nzima.

Juzi nimeiimba Sana..
Kuna dogo amefariki kwenye ile ajali ya bus la Machame,nimelia sana.
Nikakumbuka mimi jinsi nilivyoponea kwenye tundu la sindano kufa kwenye ajali ya gari..
Nikaugulia majeraha hadi nikapona.

Nikajiuliza ni kitu gani special nilichonacho hadi nilipona??Hakuna

"Nasema ni huruma tu"
Verse 2




Sasa najua haya yote
Nasema ni huruma tu!

Hivi vyote vyatoka wapi?
Nasema ni huruma tu!

Ndilo furaha yangu kubwa
Naiongojea nikifa.
 
Back
Top Bottom