Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

Sikiliza na uende kamwambieeee,
Moyo wangu wamtuma chonde asigusieee,
fundi jeneza lisinifukieee,
Mapenzi yanauma asisikieee

kamwambieeee,
Siku hzi mapenzi hakunaaaa
Walio wengi wanatamni ooh
mwambie nateketea mshumaaa
Mwenye penzi la kweli hanithaminii×2

Jack Palladino Saint Anne
Screenshot_20210403-002807.jpg
 
Nimekombolewa na Yesu
Aliyenirehemia
Kwa bei ya mauti Yake
Nimekuwa Mtoto wake

Kombolewa
Nakombolewa kwa damu ya Yesu
Kombolewa
Mimi mwana wake kweli.


Kukombolewa nafurahi
Kupita lugha kutamka
Kuliomyesha pendo lake
Nimekuwa Mtoto wake


Najua taji imewekwa
Mbinguni tayari kwangu
Muda kitambo atarudi
Alipo nami niwepo.
 

Mbona asubuhi nilisema uchumba unaenda kufa!
Amebaki kuwa Kaka.
vita penzi nitapiganaaaa
Nikiamini utarudi we changamaaa

maana siko sawa ujueee
Mkuki kwa nguruwee
Kwa binadamu mchunguu

Wanao gombanaaa
Siku zote ndo wanao patanaaa
ama unapenda ninavyo lalamaaa
Sijui nilipo kosa ujueee

Ama lengo uniueee
Me najua we ndo langu gunguuu

Jack Palladino Saint Anne
Screenshot_20210403-004341.jpg
 
Back
Top Bottom